Dalali_wa_kimataifa
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 182
- 176
Unauza ardhi umeiumba wewe?ENEO/ SHAMBA LINAUZWA
LIPO CHALINZE - MSOLWA
Limegusa barabara ya Morogoro road
Lipo mkono wa kushoto ukiwa unaelekea Morogoro na kutoka pale ilipo stand ya Mabasi ya Chalinze/ ofisi za Halmashauri ya chalinze
Ukiwa unaelekea Morogoro road ni km 1 tu.
ENEO LINA UKUBWA WA EKA 140
BEI NI TSH 5b/-
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
#realestatecontent #creatorsearchinsights #vira #tanzaniantiktok🇹🇿 #viralvideo
asante kwa niaba🙂Kila la heri
Nikajua wanunua kwa niabaasante kwa niaba🙂
Unamaanisha unauza kila hekari moja kwa Tsh 35,714,285 right....🤔ENEO/ SHAMBA LINAUZWA
LIPO CHALINZE - MSOLWA
Limegusa barabara ya Morogoro road
Lipo mkono wa kushoto ukiwa unaelekea Morogoro na kutoka pale ilipo stand ya Mabasi ya Chalinze/ ofisi za Halmashauri ya chalinze
Ukiwa unaelekea Morogoro road ni km 1 tu.
ENEO LINA UKUBWA WA EKA 140
BEI NI TSH 5b/-
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
#realestatecontent #creatorsearchinsights #vira #tanzaniantiktok🇹🇿 #viralvideo
Kwanini nitumbukize 5 Billion Chalinze? Badala ya kuwekeza Makumbusho/ Kijitonyama. Nahamisha watu wawili na kujenga apartment?ENEO/ SHAMBA LINAUZWA
LIPO CHALINZE - MSOLWA
Limegusa barabara ya Morogoro road
Lipo mkono wa kushoto ukiwa unaelekea Morogoro na kutoka pale ilipo stand ya Mabasi ya Chalinze/ ofisi za Halmashauri ya chalinze
Ukiwa unaelekea Morogoro road ni km 1 tu.
ENEO LINA UKUBWA WA EKA 140
BEI NI TSH 5b/-
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
#realestatecontent #creatorsearchinsights #vira #tanzaniantiktok🇹🇿 #viralvideo
Hakuna mtu binafsi mwenye 5bil...ya kununua shamba na system haijui vizuri.Ukinunua eneo kama ilo atakama mtakua na nyaraka zote muhimu baada ya miaka 15 mbele lazima utagombana na wahuni walio kwenye mifumo au watoto zako watazulumiwa may be kampun ndio inunue au taasisi flan ila kwa mt binafs au family apo nikujenga njia za ugomvi na serikali,mafisad wenyetamaa au wawekezaj wababaishaji