Plot4Sale Shamba linauzwa Lulembela - Bugalagala

Source ya maji, mfano mto au kisima au bwawa?
 
Ni shamba pori au lilishawah kulimwa?


Lina miti ?


Huduma ya maji ipo umbali gani au kutahitajika kuchimbwa kisima?
 
Ni shamba pori au lilishawah kulimwa?


Lina miti ?


Huduma ya maji ipo umbali gani au kutahitajika kuchimbwa kisima?
Kuna chemi chemi ,lakn pia waweza kuchmba kisima kwa uhakika wa maji mwaka mzima
 
SHAMBA LINAUZWA

[emoji3534] Ekari ~5
Shamba Lipo Lulembela ~bugalagala
1Km kutoka bara bara kuu ya kwenda kahama
[emoji778]Linafaa kwa kilimo cha bustan (nyanya,tikiti n.k)

[emoji3534] price 4,000,000/=
[emoji625] location ~bugalagala , lulembela,mbogwe,geita
[emoji3534] contact 0763571013
 
Hekari 5=4ml okay vp iyo ardhi inafaa kwa kilimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…