Hepatis B JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 222 Reaction score 206 Jun 30, 2019 #1 Kama kichwa cha habari kinavyosema eneo ni ekari tatu kamili barabara ipo viwanja vimepimwa karibu kabisa na hapo. Shamba linafaa kujenga, kupanda miti, kahawa na kilimo cha kawaida bei milion 4.5. Karibuni sana.
Kama kichwa cha habari kinavyosema eneo ni ekari tatu kamili barabara ipo viwanja vimepimwa karibu kabisa na hapo. Shamba linafaa kujenga, kupanda miti, kahawa na kilimo cha kawaida bei milion 4.5. Karibuni sana.
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,313 Reaction score 6,636 Jun 30, 2019 #2 Duh haya maisha bana hapa nilipo hata 10m kwa 10m hupati kwa milioni 4.5