Naomba utoe mwanga zaidi wa hili shamba. Kwamba lina vitu gani ndani, yaani is it developed? Na hiyo lease inamuda gani sasa? Kwamba imebakia miaka mingapi?
Kuhusu Barabara, is it easily accessible? Ni mazao gani yanaweza stawi, mpunga? Mahindi? Je linafaa kwa kilimo cha umawagiliaji? Kuna Mto karibu?
Hebu lipambe pambe kidogo maana si shamba dogo hilo .
Asante.