Maro victor
Member
- May 22, 2013
- 14
- 4
nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 16 njia ya kwenda wilaya ya pangani kata ya kirare kijiji cha kirare shamba halijawahi kulimwa. main road bei maelewano. nitafute 0787913493
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha, bei, shamba limepimwa, lina hati, naweza kulima nini hapo, je kuna mazao au miti gani, au ni mapori mwitu tu?
Okay ngoja waamke mkuu
Tanga kuna tatizo la mashamba ya ukoo! na watu hawasemi ukweli, hakuna anayesema ukweli . Let me think again maana shida kila siku na viwanja/mashamba ya ukoo.bado halijapimwa, pia halina hati nishamba pori tu ambalo halijawahi kulimwa ni zuri pia kwa uinvest kitu. mazao mengi unaweza kulima kutegemeana na msimu mf mahindi,bei ni mil 8 tu
hapana mkuu shamba sio la ukoo nililinunua mwenywe mwaka 2010 na nina documentTanga kuna tatizo la mashamba ya ukoo! na watu hawasemi ukweli, hakuna anayesema ukweli . Let me think again maana shida kila siku na viwanja/mashamba ya ukoo.
Mkuu liko wilaya gani