Maro victor
Member
- May 22, 2013
- 14
- 4
Picha, bei, shamba limepimwa, lina hati, naweza kulima nini hapo, je kuna mazao au miti gani, au ni mapori mwitu tu?
Okay ngoja waamke mkuu
Tanga kuna tatizo la mashamba ya ukoo! na watu hawasemi ukweli, hakuna anayesema ukweli . Let me think again maana shida kila siku na viwanja/mashamba ya ukoo.bado halijapimwa, pia halina hati nishamba pori tu ambalo halijawahi kulimwa ni zuri pia kwa uinvest kitu. mazao mengi unaweza kulima kutegemeana na msimu mf mahindi,bei ni mil 8 tu
hapana mkuu shamba sio la ukoo nililinunua mwenywe mwaka 2010 na nina documentTanga kuna tatizo la mashamba ya ukoo! na watu hawasemi ukweli, hakuna anayesema ukweli . Let me think again maana shida kila siku na viwanja/mashamba ya ukoo.
Mkuu liko wilaya gani