Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari tatu linauzwa. Shamba liko Zingiziwa, Chanika wilaya ya Ilala Dar es Salaam. Kuna mto unapita katikati ya shamba hivyo unaweza kufanya kilimo cha umwagiliaji kwa mwaka mzima. Ndani ya shamba kuna miche ya miembe ya kisasa ipatayo 60, miche 30 ina miaka miwili na 30 ina mwaka mmoja. Pia kuna kibanda cha chumba kimoja ndani ya shamba.
Bei ya shamba lote ni shilingi milioni hamsini (TZS 50,000,000), maongezi yapo.
Ongea na mwenye shamba moja kwa moja kupitia 0754 288 391
Bei ya shamba lote ni shilingi milioni hamsini (TZS 50,000,000), maongezi yapo.
Ongea na mwenye shamba moja kwa moja kupitia 0754 288 391