Plot4Sale Shamba linauzwa

Plot4Sale Shamba linauzwa

Evarm

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Posts
1,994
Reaction score
1,540
Shamba lenye ukubwa wa eka 50 linauzwa katika kijiji cha Mafuru kilichopo ndani ya wilaya ya mvomero Morogoro. Kila heka ni tsh laki NNE tu, ukinunua unapewa hati ya kijiji. Ukihitaji heka chache utauziwa pia.

NiPM km unahitaji.
 
Back
Top Bottom