Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 1,994 Reaction score 1,540 Feb 23, 2016 #1 Shamba lenye ukubwa wa eka 50 linauzwa katika kijiji cha Mafuru kilichopo ndani ya wilaya ya mvomero Morogoro. Kila heka ni tsh laki NNE tu, ukinunua unapewa hati ya kijiji. Ukihitaji heka chache utauziwa pia. NiPM km unahitaji.
Shamba lenye ukubwa wa eka 50 linauzwa katika kijiji cha Mafuru kilichopo ndani ya wilaya ya mvomero Morogoro. Kila heka ni tsh laki NNE tu, ukinunua unapewa hati ya kijiji. Ukihitaji heka chache utauziwa pia. NiPM km unahitaji.