Kine3 JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 331 Reaction score 175 Dec 10, 2017 #1 Bonde zuri kwa kulima mpunga, mahindi au bustani linauzwa
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,403 Reaction score 12,775 Dec 10, 2017 #2 Kine3 said: Bonde zuri kwa kulima mpunga, mahindi au bustani linauzwa Click to expand... Maelezo haya yanatosha kuuza hilo bonde? Kwanini hujui kujieleza!
Kine3 said: Bonde zuri kwa kulima mpunga, mahindi au bustani linauzwa Click to expand... Maelezo haya yanatosha kuuza hilo bonde? Kwanini hujui kujieleza!
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 4,099 Reaction score 7,466 Dec 10, 2017 #3 Wewe maana nataka kutuuzia bonde la mama Samia (Ruaha) nimwshituka
Kine3 JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 331 Reaction score 175 Dec 10, 2017 Thread starter #4 Lipo Kisarawe/Mwanzomgumu lina ekari saba na kila ekari 1.5m maongezi yapo shamba hili lina mto wa maji pembeni. Wahi mimi nahama Mawasiliano ni 0782714234 au 0715714234
Lipo Kisarawe/Mwanzomgumu lina ekari saba na kila ekari 1.5m maongezi yapo shamba hili lina mto wa maji pembeni. Wahi mimi nahama Mawasiliano ni 0782714234 au 0715714234
Kine3 JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 331 Reaction score 175 Dec 10, 2017 Thread starter #5 Horseshoe Arch said: Maelezo hnimeshaluosha kuuza hilo bonde? Kwanini hujui kujieleza! Click to expand... Ndio kwanza nimeamka mkuu kabla sijamalizia kuandika nikajikuta nimeshalirusha hewani, hata hivyo nimesha rekebisha.
Horseshoe Arch said: Maelezo hnimeshaluosha kuuza hilo bonde? Kwanini hujui kujieleza! Click to expand... Ndio kwanza nimeamka mkuu kabla sijamalizia kuandika nikajikuta nimeshalirusha hewani, hata hivyo nimesha rekebisha.