pangatulale makoga
Member
- Jun 22, 2022
- 38
- 15
sioni shamba,naona milima na pori tu,au macho yangu hayaoni vizuri..Shamba linauzwa, linafaa kwa kilimo Cha parachichi, miti ya mbao, maharage n,k
Lina ukubwa wa eka 50. Bei ya kila eka ni tsh laki tatu na Elfu hamsini (350,000=)
Shamba lipo Kijiji Cha mfriga ktk kata ya mfriga tarafa ya lupembe mkoani njombe. Lipo jirani na barabara na Kuna laini ya umeme umepita karibu
Maji pia yapo karibu.
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570 au 0764426929View attachment 2354671View attachment 2354672View attachment 2354673View attachment 2354674View attachment 2354675
Ni Mali binafsi na sio eneo la ccmSio eneo la CCM kweli hilo
Wewe unadhani shamba linakaa ndani ya nyumba?sioni shamba,naona milima na pori tu,au macho yangu hayaoni vizuri..
Ni kweli, tuwekeze ili kuongeza ajiraHii nchi bado ina maeneo makubwa ya kuendeleza