Plot4Sale Shamba linauzwa

B51

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Posts
582
Reaction score
798
Habari zenu wadau.

Nauza shamba lenye ukubwa wa heka 5. Shamba lipo Bagamoyo maeneo ya makurunge, Kama unatoka Dar kupitia bunju ukifika pale kwenye mzunguko (round about) ya kuingia mji wa bagamoyo Makurunge ipo kilometre 8 kuanzia pale kama unaelekea msata.

Ukiwa unapita njia hiyo ya Bagamoyo
msata ukifika sehem kwenye njia panda ya kwenda Saadani National Park, hapo ndio Makurunge.

Ukifika pale ni mwendo wa chini ya dakika 5 kwa pikipiki kufika shamba lilipo.

Shamba ni lakwangu halina udalali na nilishawapeleka watu wa ardhi wilaya Bagamoyo kwaajili ya kulipima ili kuendelea na mchakato wa kulipatia hati.

Hivyo shamba tayari lina mchoro .

Shamba ni Safi nimelisafisha lote ila sijapanda chochote.
Naliuza lote heka 5 kwa 4.5ML (million nne na laki tano). Kwa maelezo zaidi nipigie 0716 453 548..
 
Lina document gani?
 
Mkuu una nyaraka zote za eneo lako?
Ahsante
 
ENEO NA BOMA LINAUZWA
KIBAHA KWA MFIPA JIRANI NA SEC.YA SIMBANI .
ENEO LINA UKUBWA WA NUSU HEKA. KUNA BOMA LA NYUMBA YA VYUMBA 3 VYOTE MASTER. SEBLE JIKO NA DINING. NIMEEZEKA VYUMBA 2. NA VYOO VYAKE TAYARI VINATUMIKA LINA TANK YA CHINI YA KUVUNIA MAJI LITA ELFU 3000.

UMEME NGUZO MBILI
MAJI NI MITA 500

km.1 kutoka main road

NATAKA ML. 18
 
Mkuu, kutoka shamba lilipo mpaka Saadani ni umbali gani?. Je maeneo hayo ndio yale ambayo wanyama wa Saadani tembo, fisi na wenzao huwa wanavuka kula vitu kwenye mashamba?.
 
Mkuu, kutoka shamba lilipo mpaka Saadani ni umbali gani?. Je maeneo hayo ndio yale ambayo wanyama wa Saadani tembo, fisi na wenzao huwa wanavuka kula vitu kwenye mashamba?.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unataka kumfukuzia wateja
 
Mkuu, kutoka shamba lilipo mpaka Saadani ni umbali gani?. Je maeneo hayo ndio yale ambayo wanyama wa Saadani tembo, fisi na wenzao huwa wanavuka kula vitu kwenye mashamba?.
Zaidi ya kilometers 100
 
Mkuu huko makurunge naskia Serikali ya Zanzibar Wana eneo lao tangu 1978 ....na watu wameshauziwa maeneo yao ...
Huu ukanda wa bagamoyo unahitaji umakini sana kabla ya kununua ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…