- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
maxence@maxence.co.tz
Well,Lina mazao gani au ni pori ambalo ni virgin, tuambie na hali ya ardhi kama mimea inastawi na aina gani,lipo flat, bondeni, kuna mto karibu nk
Kamisheni? Sawa, tutaongea mkuu maana nami ni mjumbe, lakini kwako si neno, inaongeleka.Mkuu mi naweza nikatafuta mteja na nikamleta?
Lakini kifuta jasho si kipo au?
Lipo maeneo ya: Vianzi/Vikindu
Lina ukubwa wa hekari 20,
Lina hati ya serikali ya kijiji ya umiliki.
Umbali: Kilomita 35 kutoka mnara wa saa (Clock Tower) Mnazi mmoja hadi hapo shambani
Gari ndogo linafika hadi shambani.
Bei Tshs Milioni 20.
Kwa mawasiliano nitafute nikuunganishe na muuzaji (si dalali) mwenyewe. Simu yangu +255713444649 au barua pepeCode:maxence@maxence.co.tz
Shamba likishauzwa mtafahamishwa ili mjadala ufungwe.
Ni hivi,Nashukuru Mkuu, ila sasa Vianzi ama mbele ya Vianzi maana isije ikawa mbele kule kwenye mashamba ya Mahita he he he
Mkuu Maane,Mkuu tupe maelezo ya shamba lenyewe tukianzia na kama lina mazao, aina ya udongo, huduma za jamii zilizopo. n.k. Nikishapata details za kutosha nitawasiliana na wewe. Otherwise, thanks kwani unapenda maendeleo.
Mkuu Yebo Yebo Vikindu sawa kabisa unapita Mbagala kama unaenda Lindi ama Mtwara.Samahani wakuu...hivi Vikindu ni kuelekea kule Mbagala mbele?
Anapatikana kuanzia kesho kwa maongezi na kuliona Shamba nadhani itapendeza kuwa kuanzia Ijumaa. As long as uko tayari jamaa yangu yupo tayari pia kukupeleka mpaka eneo lenyewe.Je bei ni ya mwisho hakuna maongezi? Anapatikana lini twende kuliona?
Kabla ya kufika Kisemvule. Ni mpaka maeneo ya Majumba Sita baada ya kuvuka kwa Mahita.Liko karibu na Kijiji cha Kisemvule ama karibu na ilipokuwa `Polo Italia Amadori` au karibu na ilipokuwa `stop over bar`?, kuna maelewamo ama bei haishuki?
Ndiyo mkuu Yebo Yebo, ni maeneo ya mbele baada ya kuvuka Mbagala barabara ya Kilwa.Samahani wakuu...hivi Vikindu ni kuelekea kule Mbagala mbele?
Duh,Kama nikitaka robo ya eneo lote (hekari 5), inawezekana?
Poa,Huu mchongo ngoja niuhangaikie unaweza ukatoka kwenye game hivi hivi kwa kula %.
Nashukuru Mkuu, ila sasa Vianzi ama mbele ya Vianzi maana isije ikawa mbele kule kwenye mashamba ya Mahita he he he
kuna shamba pia lipo maeneo ya changanyikeni. lina hati miliki ya wizara. ni zuri lina ukubwa wa ekari tatu kasoro. (prime area)
bei ya kuanzia 200 milion (siriaz).
pia kupangisha ni plan B
kama kuna buyer makini wasiliana na Max atanistua.