Shamba linauzwa, lina ukubwa wa ekari moja. lipo katika kijiji cha kinzudi, unapita tegeta salasala. linafikika kwa bara bara, umeme upo jirani (unahitaji nguzo moja tu).
ni muwafaka kwa ujenzi wa makazi(nyumba) au ghala(godown).
bei ni: Tsh. 25m (maongezi yapo).
mawasiliano ni: 0713 67 10 20/0787 83 59 48
BEI IMEPUNGUA NA SASA NI Tsh. 13m. mwenyewe yuko desperate sana kuliuza nami kama dalali natimiza wajibu.
Ikishuka zaidi mitaa ya 5Mil tujulishe, wazee wa dead balls..nitamwagiza mtu hapo Dar awasiliane nawe.