moyo wenye aman i
Senior Member
- Nov 12, 2019
- 177
- 297
Nawasalimia wanajamvi.
Pole na majukumu naomba nijielekeze kwenye mada mzee mmoja tunaefahamiana akanifuata kunitaarifu kuwa anauza shamba lake na ametafuta wanunuzi kwa mwaka sasa hafanikiwi tatizo watoto wake wanamzunguka kwa wanunuzi kwa kuwatishia kuwa baada ya kifo cha mzee wataleta mgogoro
Sasa mzee kaenda kwenye Serikali ya Kijiji na ofisi ya mtendaji na kapewa barua ya kuuza shamba lake lenye ukubwa wa hekta zaidi ya 3, kilichoniumiza anauza kwa bei ndogo ya ajabu akidai afaidi jasho la ujana wake akiwa uzeeni
Tatizo uchumi wangu sio mzuri kabisa nikaamua kuweka bandiko hili mwenye uhitaji akafaidike jamani namba yake ni 0682203042. Mzee huyu ni jirani yangu hati anazo, mwenye uhitaji wasiliana nae kwa mazungumzo zaidi.