pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Husika na kichwa hapo juu kwa yeyote mwenye kuhitaji shamba la kilimo lenye maji na miundo mbinu mizuri yaani barabara umeme upo shamba liko barabarani linafaa kwa kilimo cha vitunguu mpunga nyanya mihogo viazi pamba nk.
Zipo ekari nne Kila ekari moja inauzwa sh milion tatu ukichukua zote kwa pamoja tunakupunguzia shamba lipo Maeneo ya misungwi karibu kabisa na Misungwi water supply.
Kwa mwenye kuhitaji wasiliana nami kwa WhatsApp: 0763772636
Sent using Jamii Forums mobile app