pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Ni eneo zuri lakini kuna nyaraka gani muhimu ambazo zipo na eneo hilo halipo kwenye mipango ya Halmashauri ya eneo husika? Muuzaji inaonesha kuna mazao tayari jee mnunuzi ananunua na mazao yaliyomo ama ni mpaka mmiliki wa sasa avune mazao yake na yeye ndiyo akabidhiwi shama?
Hiyo bara bara ni rasmi ama ni ya jamii na inapita katikati ya shamba, juu ya shamba ama iko chini ya shamba? Na hakuna marufuku yoyote ile iliyotolewa kuhusu eneo hilo?