Shambulio Kenya: Washukiwa wa ugaidi waliokuwa wakisakwa wajisalimisha

Shambulio Kenya: Washukiwa wa ugaidi waliokuwa wakisakwa wajisalimisha

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411

_97722845_b464b65c-eaac-418d-acd3-6b97bf8ce4d3.jpg

Watuhumiwa wa ugaidi waliokuwa wakisakwa na mamlaka Kenya wamejisalimisha.

Inaaminika kwamba walijisalimisha katika kituo kimoja cha polisi mjini Isiolo , kaskazini mwa mji mkuu wa Nairobi.

Chanzo: BBC
 
achana na hyo mbwa koko,jama mkatoliki lakini hajambo kuharibia waasilamu dini..
Huyo sio mkatoliki tena hujakutana na thread zake za kutukana ukristo, ameshapigwa ban mara kibao sababu ya kukashfu dini ya kikristo, ni muislam
 
achana na hyo mbwa koko,jama mkatoliki lakini hajambo kuharibia waasilamu dini..
Muislam mwenzako huyo na me naamini ndiye anayeufata uislam hasa unavyotaka.

Ukifuatilia post za huyu jamaa unapata wasaa wa kuwajuwa hawa wenye dini yao jinsi walivyofundishwa.
 
Wakenya bana. Mnachekesha kweli.
Endeleeni kujidanganya!!!
Mara paaap wanaume wamekinukisha tena katikati ya nairobi mchana kweupeeee
Yaani nyie binadamu wengine ni mashetani tu sasa wewe kinachokufanya useme wanajidanganya ni nini!!!...kwako ni habari mbaya hii au ni nini hasa!!! Yaan mimi ningekabidhiwaga kumiliki chombo cha moto watu kama nyie ningekuwa nimeshafyekelea mbali zamani sana...ni dhahiri umeumia sana kukamatwa hao wapuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
migaidi ya kikiristo inavyoposti chuki humu wala haioni Kama inakosea kweli nimeamini wamejawa Na chuki Na roho mbaya Yaani kila zuri ni wao ni kila baya ni wenzao kisa tu kimeandikwa badala ya kuchambua inasapoti tu
 
Back
Top Bottom