Shambulio kubwa la makombora ya Iran liliharibu kituo cha ndege za kivita za F-35 cha Nevatim nchini Israel

Huoni anavyochinja wakuu wa magaidi?
 
Wafuasi wa munyaazi ni shida sana eti Air bases zimechakazwa na wakati huo huo air forces operations zinaendelea kama kawaida
 

Attachments

  • 5841085-169254b07824e0223f35142025198c6a.mp4
    1.1 MB
Huoni anavyochinja wakuu wa magaidi?
Jitie moyo,kwani infantry wanatumia ndege,wanatumia tanks mkuu na armoured vehicles.Na hata hivyoo, zilizochakazwa ni F-35s ambazo ndizo the most advanced walizokuwa nazo,bado F-15s,F-16s etc. zipo.
 
Ni kweli mkuu,ila zimechakazwa na Iran,think of that.Ni aibu sana kwa Israel ambayo imekuwa inatamba all these years kwamba it's airspace and land is inpenetrtable.
Israel haiwezi ku survive hata masaa 48 bila silaha za Mmarekani, Intelejensia ya Marekani na Uingereza, na mwamvuli wa kisiasa
Ni complete defenseless country ukitoa support ya Marekani
The reason why Iran anaidonyonyoa kama hivyo ni hataki escalation itakayo force Marekani aingie, na Marekani pia hataki escalation ambayo itam force amvae Iran kwasababu anajua club ambayo Iran yupo

Israel ni mbwa koko tu
 
Jitie moyo,kwani infantry wanatumia ndege,wanatumia tanks mkuu na armoured vehicles.Na hata hivyoo, zilizochakazwa ni F-35s ambazo ndizo the most advanced walizokuwa nazo,bado F-15s,F-16s etc. zipo.
Najitia moyo vipi chief wakati nilichosema ni kweli
 
Na hivi
Na hivi ndivyo vita vinavyopiganwa bila kuua watoto,wanawake wala kulipua mashule na hospitali,kama Israhell watapigana man to man bila kulenga raia basi vita vitakua vigumu sana upande wake,La muhimu ni Mungu ajaalie amani ya kweli duniani.
 
Hizo picha au video za F35 zilizoharibiwa zipo wapi? Mleta uzi nae kilaza tu hana ushahidi wowote
Utapigaje picha kwenye restricted area ya kijeshi,acha ukilaza wewe,hizi taarifa ni za ki-intelijensia kutoka ndani kabisa ya CIA.Leo ingawa MSM siwaamini,lakini Aljazeera wamesema Satellite images zimeonyesha kwamba military bases za Israel,tena high value zimehariniwavibaya.

The following clip should tell it all.
 

Attachments

  • 5841085-169254b07824e0223f35142025198c6a.mp4
    1.1 MB
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 ila wafuasi wa mudi ni mahayawani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…