Shambulio la kujitoa Mhanga laua watu 59 wakiwemo Polisi waliokuwa Msikitini nchini Pakistan

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kwa mujibu wa taarifa ya Waziri Mkuu, #ShehbazSharif shambulio hilo liliwalenga Polisi waliokuwa Ibadani katika #Msikiti ulioko ndani ya eneo la Makao Makuu ya Polisi na lenye ulinzi mkali

Msemaji wa Hospitali iliyopokea waathirika wa Shambulio amesema walipokea maiti 59 huku wengine 157 wakiwa wamejeruhiwa vibaya kutokana na mlipuko wa Bomu

Licha ya Msikiti huo kuwa katika eneo lenye Ulinzi mkali wa Polisi na Idara za Ujasusi, mshambuliaji alifanikiwa kuvuka vikwazo na kuingia ndani ambako kulikuwa na kati ya Maafisa 300 hadi 400 wa Polisi. Kundi la #Taliban limekana kuhusika na shambulio hilo.

==============

At least 59 people have been killed by a suicide bombing that apparently targeted policemen praying in a mosque in Peshawar, Pakistan.

The mosque is within the tightly guarded police headquarters area.

"Terrorists want to create fear by targeting those who perform the duty of defending Pakistan," Prime Minister Shehbaz Sharif said.

The Pakistani Taliban denied involvement after an initial claim by one of its commanders.

The group ended a ceasefire in November, and violence has been on the rise since.
In December it targeted a police station - like Peshawar, in the north-west of the country - leading to the deaths of 33 militants.

A hospital spokesman told the BBC the death toll stood at 59, while 157 people had been injured.

Between 300 and 400 police officers were in the area at the time, Peshawar police chief Muhammad Ijaz Khan told local media.
The mosque is in one of the most heavily controlled areas of the city, which includes police headquarters and intelligence and counter-terrorism bureaus.

BBC
 
So sad. Hii dunia kunae watu wanajua sana kubrainwash wenzao.
 
Ukiuliza sababu za kuua watu watashindwa kujibu.Tukiyaita majinga yanachukia.Stupid mandevu!
 
Marekani walitoa utabiri to the wrong state, P na T wapi na wapi, Pakistan 🇵🇰, Tanzania 🇹🇿 wala hamna lolote linalo tufanya tufanane.

Hofu yangu hapa bongo ysa isije ikaanza kutega mabomu ili utabiri wao utimie. Hawana maana kabisa wale wana hizaya
 
Utakutana na mvaa kobazi atakwambia ni marekani kahusika
 
Ukiuliza sababu za kuua watu watashindwa kujibu.Tukiyaita majinga yanachukia.Stupid mandevu!
That is how the devil works, they are not stupid...by the way..........faith passes from generations to generations .......now it becomes even more worse , when your faith is linked to the devil .... The devil can promise you greatness in Heaven after suicide killing....
 
Sasa misikiti ikiripuliwa ni waislam, makanisa yakiripuliwa ni waislam🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂
Hivi ni vituko wandugu,
Alishindwa firauni ndio mtaweza nyie? 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Staki poofuuuuuu
 
Nilishasema na ninaendelea kusema kuwa kuna dini hata ukiwa na akili ya kuweza kuutambua ugali na mboga au kutambua choo na bafu huwezi kuiamini.
Amkeni enyi wajinga.
 
Hazina mashiko.Ujingaujinga tu.Hizo ni nchi zenye kuzalisha madawa ya kulevya kwa wingi.Ni lazima wanayatumia.Sasa athari zake tunaziona.
Mwanzo ulisema hawana sababu,
Sahivi unasema sababu wanazo lkn hazina mashiko.
Halafu swala la kuzalisha madawa ya kulevya na kuyatumia wala haviendani, ni kama kusema kwa vile tanzania ina rasilimali nyingi basi ni nchi tajiri Afrika.
Ukirudi kuisoma vizuri taarifa utagundua mlipuaji anayo akili timamu na si mtumiaji wa madawa. Kwanini aache masoko, mahoteli na sehemu zingine kisha akajilipue ktk kusanyiko la wanausalama !? Unadhani hakuna alicholenga ?

Nb: Sihalalishi kujilipua kwa namna yyt ile. Kujilipua sawa na kujinyonga, na kujinyonga ni kujiua.
 
Acha wafe si wanauliwa na waislamu wenzao😂😂😂😂
 
😜😜😜Kwa hiyo umekaa sehemu unanisoma huku umechukia?Hawana akili.Madawa ya kulevya ni tatizo.
 
Kama uliandika kwa lengo la kuchukiza mtu flani basi upo sahihi,
Mi nilidhani umeandika ukiwa serious kwenye point yako, kwa hapo
haina haja ya kuchambua chambua kilichoandikwa.
.
 
Pole kwa wahanga.

Na kuna Media moja nchini ina brainwash vijana kupitia tamthilia zenye milengo fulani. Vyombo husika viwe alert, huko mbele hiyo mbegu itamea na kuzaa matunda!
Ni kweli, ila na wale wanaopromote ushoga nao wamulikwe pia, huko mbeleni itakuwa shida kubwa mbegu itamea na kuzaa mashoga wengiiiii
 
Back
Top Bottom