Shambulio la kujitoa Mhanga laua watu 59 wakiwemo Polisi waliokuwa Msikitini nchini Pakistan

Kama uliandika kwa lengo la kuchukiza mtu flani basi upo sahihi,
Mi nilidhani umeandika ukiwa serious kwenye point yako, kwa hapo
haina haja ya kuchambua chambua kilichoandikwa.
Tusilumbane ndugu.Hapa tunaendeshwa na hisia tu.Uwe na utulivu wa moyo,roho na nafsi!
 
Ugaidi umesababisha maafa makubwa sana duniani
 
Hii dini hata wenyewe kwa wenyewe hawajui aya zipi ni sahihi na zipi sio sahihi, ni mwendo wa kuwindana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…