Herry kisanduku na Le mutuz ukiwakuta huko mtaani wabane au wape michepuko wakilewa wanatoa siri zote na sasa wanashinda na kukesha kwa waganga wa kienyeji wakitamani ndege itakayombeba Lisu kuja Tanzania ipotelee kwenye Mawingu iende mbinguni kutua isije Tanzania, maana wanahofia kutajwa Live kisha nguvu ya umma kuwapa Taabu sana.Naona mipasho na porojo za vibarazani uswahilini tu.Waliofanya tukio hilo wanajulikana na ndio hao walioondoa CCTV eneo la tukio na ndio hao waliohakikisha kuwa walinzi wrote wanaondolewa siku hiyo
Kweli WW ni minyooLe mutuz siku hizi anaishi kwa mganga wa kienyeji hata uzurulaji kusaka vicheche usiku kwenye club kapunguza sana.
Mkuu Baija, nchi inaongozwa kama familia, hata wewe ukiwa nyumbani, kama mtoto wa kiume unaejitambua, siku mama yenu amesafiri kwenda kijijini kwao kusalimia, huku nyuma baba akaingiza mgeni, na ukamuona. Kumbe yule mgeni aliacha chumbani kwa baba nguo yeke fulani, bila baba kujua, ama kwa kusahau kwa bahati mbaya ama kwa makusudi ili mwenye nyumba ajue hayuko peke yake.Paskali, mwanzoni nilidhani na wewe huwajui "Wasiojulikana" na Wasiojulikana. Lakini nimeacha imani hiyo. Unawajua wote wa aina mbili na ndo maana unakimbilia kukosoa thread yangu badala ya kujikita na maswali niliyouliza.
Ningekuwa ni mmoja wao, ningepandisha bandiko hili?.Paskali ni mwanachama wa chama cha watu wasiojulikana (teass) ndo maana "nyepesi " kama hizi hazimpiti.
Mkuu cheki pm yanguNingekuwa ni mmoja wao, ningepandisha bandiko hili?.
TISS ni Watekaji, Watesaji na Wauaji!. Wasijadiliwe na Bunge bali Wachunguzwe, Wafumuliwe! - JamiiForums
P
P.Unaushahidi juu ya waliomshambulia ni wasio julikana? Hebu fafanua
Na unadhani kwa nini walimshambulia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajulikani !Ningekuwa ni mmoja wao, ningepandisha bandiko hili?.
TISS ni Watekaji, Watesaji na Wauaji!. Wasijadiliwe na Bunge bali Wachunguzwe, Wafumuliwe! - JamiiForums
P
Mkuu inamana hizi kelele tuzisikiazo week hizi mbili ndo hawa watu waĺiommiminia risasi mzee wa hard talk au sijaelewa vizuri?
Ukweli lazima tuseme CHADEMA they are behind this well planned na mwenyekiti na mwenye chama THUS WHY kila siku tunasema humu FAMILIA ya LISSU they are should be more close na ndugu yao kuliko hao kina mbowe...WASIWAAMINI KABSA
Watu vwa EAGLE kamwe hawezi kupiga risasi kizembe hivyo na kama kweli wangekuwa ni wao lazima wangeakikisha LISSU kapotea kabsa kwenye USO WA DUNIA hiyo ndio one of the principles za watu wa EAGLE.....
Afu suspect mwingne ambaye naweza amini kabsa anaweza kuwa BEHIND this ni hawa CUF MAALIM...tuna wasahau sana hawa jamaa......na wao the only option ya kupambana na SERIKALI YA CCM ni kutengeneza matukio ya namna hii
Mkuu Evarist, kwa vile unakiri kufanya vitu visivyo sawia, ukaungama, kwa ushauri tuu, kwa mujibu wa kanuni ya karma, kuungama pekee hakutoshi, inakubidi kufanya mema mengi ili kupindua ule uovu!.Nitakuwa muongo nikidai sijawahi kufanya vitu ambavyo sio sawia.
Kwenye filosofia kuna kanuni inayoitwa "Jus Bellum Justum" (Just War Theory) ambayo ina elements kuu mbili "Jus ad bellum' (haki ya "kwenda vitani") na "Jus in bello" (uendeshaji vita kwa haki). Basically, kanuni hii "inahalalisha" matendo ambayo sio halali. "kusafisha dhambi" mbalimbali.
Otherwise, I'm a Christian. Nishaungama dhambi zangu na ninaamini Mungu ashanisamehe
.......🤔🤔🤔Jee inawezekana hata tukio la Lissu likawa ni vijana wenu?.
P.
Kwanza nakushukuru kwa kuniheshimu kutumia verified name. Licha ya kutumia verified name pia mimi ni mwana habari, jukumu kuu la waandishi wa habari ni tell nothing but the truth. Hivyo mimi ni mkweli daima na yote niandikayo humu ni kweli tupu.Nakuheshimu kitu kimoja, unatumia verified ID, lakini ukweli unaujua. Tuishie hapa
- Ina maana hujui nani kaamuru kuawa Ben Saanane?
- Hujui nani kaamuru Tundu Lissu ashambuliwe?
- Hujui nani alikuwa nyuma ya utekaji wa Mo Dewji ?
Haya sasa kazi ya kuwatambua wasiojulikana kupitia kwa karma inaanza taratibu, Marekani imeanza kuwasaidia!, tunaianza safari mdogo mdogo mwisho wa siku, wasiojulikana watajulikana tuu!.Wanabodi,
Conclusion Kuwahusu hawa Watu Wasiojulikana na 'wasiojulikana', according to the motive behind the shooting.
1. Kama the motive behind the shooting ya Lissu ni kwa sababu he is very vocal hivyo kuonekana ni mwiba, then hawa wanaoitwa ni wasiojulikana, kiukweli sio wasiojulikana, hawa watakuwa ni 'wasiojulikana' ambao ni wale 'jamaa zetu', kama ni wale 'jamaa zetu', then hawa sio watu wasiojulikana, hawa ni watu 'wasiojulikana', kama yule mpuuzi aliyemshikia Nape bastola ni mtu 'asiyejulikana' na mpaka leo hajulikani na kamwe hatajulikana, and if this being the case, then watu hawa hawatajulikana kabisa, hata yule aliyetajwa na blogger wa Kenya, pia ni mtu 'asiyejulikana'. Ila hukumu ya karma itawahusu wahusika wote.
Paskali