Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana

Kama wasiojulikana ni watu wasiojulikana, then wataendelea kuwepo, lakini kama wasiojulikana ni 'wasiojulikana', then hawaendelea kuwepo!.
P
 
Waliomshambulia Lissu ni watu wasiojulikana.
P
So long as ni "watu" bila kujali wanajulikana au hawajulikani, kisasi cha Mungu kinamwona kila mtu, kila kiumbe chake popote...

Mmojawapo ni Mwendazake Rais Hayati John Pombe Magufuli, alikuwa akidhani atajificha na kisasi cha Mungu...

Wewe Pachal Mayalla kama huamini kuwa huyu alikuwa ni mmoja wa "wasiojulikana", basi hiyo ni shauri yako....

Lakini tambua tu kuwa sasa "amejulikana" na kisasi cha hukumu ya Bwana kimemkumba...

Tuishi kwa kufikiri na kutenda wema kwa kila mtu. Inawezekana iwapo tutamtumaini Yesu Kristo leo..

Asante..
 
Chadema ndiyo waliotoa zile CCTV CAMERA kwenye eneo la tukio,ndiyo iliyo watoa walinzi wote muda wa tukio na eneo la tukio?.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Karma imefanya kazi yake tayari
 
Mkuu mngony , thanks for this, its a good analysis na inafikirisha, hivyo ni kweli kuna uwezekano wa kuwajua wale wasiojulikana ila 'wasiojulikana' kamwe hawatajulikana!, kama nilivyoeleza kwenye bandiko hili.

P
 
Waliompiga risasi Tundu Lissu walitumwa na mamlaka ya uteuzi. Asante Sabaya,siku uliyokamtwa ulisema utafika wakati utamtaja anayeendesha karakana ya ibilisi na hatimaye kweli jana umemtaja.
 
Mkuu mngony , thanks for this, its a good analysis na inafikirisha, hivyo ni kweli kuna uwezekano wa kuwajua wale wasiojulikana ila 'wasiojulikana' kamwe hawatajulikana!, kama nilivyoeleza kwenye bandiko hili.

P
Uzuri wake ni kuwa, watakuja kujitaja ili kulazimisha 'KULINDWA' katika mazingira yanayoonekana kumfanya ajione katelekezwa na washirika, kama anayojikuta 'Ndugu yetu' Ole Sabaya. Labda hiyo NDIO mwaiitaga KARMA.
ILA kwenye kanuni zisizoandikwa za ujasusi, WASHIRIKA HALISI huwa hawaruhusu ifike hatua ya WAO kuvunjiwa heshima kwa kuanikwa.
 
Imekuwa ikisemwa kuwa Duniani hakunaga siri.
Siri huwa ya mtu mmoja kuanzia watu wawili si siri tena!
Nazani ni swala la muda tu !
 
Mtoa Maagizo Kwa sasa kishakuwa Skeleton kule Chuttle
 
Leo Tarehe 7 Septembre, imetimia miaka 4 kamili tangu Tundu Lissu ashambuliwe na watu wasiojulikana ambao mpaka leo ni miaka 4, bado hawatajulikana.

Tumuombee Lissu afya njema na kwenye kuikumbuka siku hii, Mungu amuepushe kupata kitu kinachoitwa "stigimatta"

Pole sana Lissu, survival yako tuu ni muujiza, mwacheni Mungu aitwe Mungu, mengine yote mwachie Mungu.

P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…