Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana

Huwezi kumwaga damu ya MTU then ukabaki salama, kama pua yako inaangalia chini lazima we pia mda wako utakuja tu... Pengine pua yako we mwenzetu ingelikuwa inaangalia juu basi labda tungehisi utapaa.

 
Ujinga mzigo mzito
 
Hata mjinga hujiona mwerevu
 
Hili jamaa lilikuwa na roho mbaya sana
 
Mkuu Mbogi, kila siku humu if, wanaingia madogo wapya, hivyo hawawezi kujua nani aliwahi kusema nini kuhusu wasiojulikana TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
Na ufafanuzi pekee wa kuondoa lawama hizi ni fanya uchunguzi wa kile kinacholalamikiwa ikiwa ni pamoja na mauaji/ majaribio ya mauaji ya watu yaliyotokea.

Wewe Pascal, lisaidie taifa letu kwa kusema ukweli.
Kwenye hili la wasiojulikana, nimejitolea hata kufanya uchunguzi





Mabandiko hayo ni uthibitisho wangu kulisaidia taifa kwenye hii issue ya wasiojulikana.

P
 
Nchi ngumu hii aliyaminiwa kupambana na mafisadi akawa anapambana na WAPINZANI wanaomkosoa kwa maneno wanakosoa urais wao Kama taasisi WASIOJULIKANA wakaaanza kupoteza.ila mwisho wa siku Corona ikafanya yake hahahahahahahaha
All in all SIASA
 
Niliwahigi kuwaza hivi, kumbe pia kuna wengine waliowahi kuwaza hivi!.
P
 
Tangia siku ulipomtabiria yule jamaa wa Dar kua atakuja kumrith magufuli nlianza kukuzarau kaka
Pole Sana, bandiko hilih ttps://www.jamiiforums.com/threads/baada-ya-magufuli-2025-makonda-atatufaa-sana-kwasababu-ana-uthubutu-kuliko-hata-jpm-apunguze.1197731/ lilikuwa ni bandiko la watu wa kimo fulani, hivyo likakuzidi kimo ama ukangia chaka ama ukatoka patupu!.

 P
 
Mkuu Fundi Mchundo, unless uwe unawajua wasiojulikana for sure, lakini kama shambulio la Lissu limefanywa na wasiojulikana ambao mpaka leo bado hawajajulikana, then wasiojulikana hao, could be anyone!.
Ya Wangwe siamini, lakini confession ya Kagenzi walimfanya nini, nimemsikiliza ni kweli!, ile video ya WR ni bonafide genuine!, therefore, it could be anyone!.
Nikimalizia na karma, that's how karma operates, lazima ikutafutie sababu!. Hata kifo cha yule Blaza wangu ni karma!. Janga lolote likikuta ni karma!.

P
 
Kiukweli kabisa, huyu mtu aliyeifanya kazi hii, akitokea kuja kuchaguliwa kuwa Mwakilishi wa Tanzania ndani ya EALA, you can just imagine atafanya nini!. Kama amaweza kufanya yote haya akiwa just a journalist, akitokea akawa mbunge wa kitu kama EALA, si Tanzania itapaa?. Au mnasemaje wanabodi?.
P
 
Ili Tanzania ipae, Ndege ichekiwe vizuri, maana walevi wamepewa KAZI ya ukaguzi wakiwa Tungi.

Mtu makini wa aina Yako, usipande ndege hiyo yasijekutokea ya Absalom, Kamanda na Jemedari wa vita, mwana wa Mfalme Daudi.

Ameeen
 
Je wewe ni mmoja wa hao jamaa uliyewaongelea humu ?
 
Umezunguka uwanja mzima lakini ni wasiojulikana na karma he is a bitch it will hunt them until their death wasiojulikana wa MWANZONI sio wasiojulikana wenye alama iyo Yakifungua semi na yakufunga semi task force
 
Kupitia mahojioano haya LIVE: Mahojiano na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu katika Clouds 360 Tundu Lissu amethibitisha impliedly kuwa wasiojulikana waliomshambulia ni wasiojulikana kweli na sio 'wasiojulikana'!.
Asante sana Tundu Lissu kututhibitishia hili, sasa nenda karipoti kwenye vyombo husika ili uchunguzi wa kijinai uanze!.
P
 
Lisu ameendelea kudai kwamba hayati Magufuli aliagiza msaliti hasitahili kuishi na baada ya muda mfupi Lisu akashambuliwa kwa risasi Dodoma, je kumbe Lisu alikuwa anajijua ni msaliti wa nchi?, maana Magufuli hakutaja jina la mtu alitaja msaliti.
Kwa nini Clouds FM hawakumuuliza dereva wake amemficha wapi?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza sababu za Acacia kufutwa Tanzania na hawakushitaki MIGA?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza kama alipigwa na Magufuli na sasa hivi ni miaka miwili Magufuli hayupo kwa nini uchunguzi haufanyiki sasa hivi?

Nb: watoto wa Mbowe na Lisu wote ni raia wa Marekani.
 
Naaam tushawajua
 
Wanabodi,
Hili tukio la kifo cha huyu mzee, kwa mujibu wa taarifa za tukio lenyewe, mimi nimejiridhisha wahusika sio watu wasiojulikana, ni 'wasiojulikana'

Nashauri kwa negligence iliyofanywa na Jeshi letu la polisi kuhusu kadhia hii ya kifo cha Mzee Ali Mohamed Kibao, Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu , kukutwa ameuwawa na watu 'wasiojulikana' na mwili wake kutupwa eneo la Kunduchi Ununio, kwa kuanzia nashauri watu wwanne hawa wawajibike!.
1. Waziri - kwa ajali kazini
2. IGP - kwa negligence ya RPC wake
3. RPC -DSM - negligence
4. OCD Kinondoni - negligence, na hawa wawili wa mwisho RPC na OCD wanaweza kufikishwa kwa Pilato!.

Ni wakati sasa Rais Samia kukasirika kama enzi za Nyerere!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…