Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana

Wana JF waje wajikumbushie uzi huu kisha wenyewe wataamua kuhusu wale jamaa wa Kiluvya
 
Fukuto kubwa linaendelea ndani ya chadema, pengine tutawajua baadhi ya wasiojulikana
 
Makala zako zinachosha sana Mayala
Huu ni mwaka wangu wa 34 ndani ya fani, mimi sasa sio reporter, ni mtu wa kuzama deep, mimi ni mwandishi wa IJ, hivyo kama vitu vidogo tuu hivi vinakuchosha, unaweza kusoma vitu deep kama lile lidude la IPTL?. Au unaweza kusoma vitabu wewe?.

Ujio wa social media, vitu short and clear, umepelekea watu kupenda vitu simple na rahisi rahisi, hakuna documentary yoyote ya maana kwenye mainstream media zetu, watu wanafurahia kuzungimzia Simba na Yanga na kina Daimondo Wema, Kajala etc. Mimi ni mtu wa kuzama deep na wasomaji wangu wa deep things wapo!.
Ushauri wa bure kwako, next time unapokutana na mavitu ya kuchosha, unaachana nayo na kwenda kwenye ile kitu moyo wako unapenda.
P
 
Pole sana Lissu, survival yako tuu ni muujiza, mwacheni Mungu aitwe Mungu, mengine yote mwachie Mungu.

P.
Everything happens for a reason,Lissu kapigwa risasi 16,aliyemlinda ana makusudi na Lissu,kama kusudi lake ni Lissu awe rais wa JMT,Lissu atakuwa!。 Mwacheni Mungu aitwe Mungu!。
P
 
Kazi meanza,EK kajizima data,kajilipua kwa kuanza kuwataja wasiojulikana!,je ndio hawa wanaotajwa?
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…