Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana

Wew ni mnafiki na sio critical thinker kama unavyojinasibu

Hopefully siku moja watu wasiojulilana watakutembelea kwa muda usio julikana

Naomba upitie maandiko yako ya Karma
 
Wasiojulikana naamini wangeshakamtwa kwani mchana ule isingewezekana wakimbie.Lakini haikuwa na haijawa hivyo kwa sababu wasiojulikana hao ni wale wale"Wasiojulikama"
 
Hili shambulio linajulikana limeanywa Na watu gani,kwahiyo bwana pascal unaonekana MTU wa ajabu katika bandiko lako ukiwahusisha chadema.simamia kalamu yako kimsimamo bila kuyumba au kung'ata Na kupuliza.
 
I like your threads very much ma brother!!!
 
Mkuu umenikumbusha story za James Hardley Chase inabidi kutumia kichwa kungamua nani ni nani katika sakata hii.
Professional assasign angetumia risasi mmoja hadi tatu hawezi kubwaga magazine nzima tena ya smg.
"Mtaalamu" wa sakata hilo alikuwa hana haraka ya kumuwinda mchana tena with lousy camouflage saa 7 si angejibanza pahala na bunduki yenye kazi yake akampa ya kichwa mmoja?
Saa za shambulio yaani saa za mchana zingevutia watu wengi na kusababisha hovu inageuka public adress,muuaji mahili asingefanya hivyo.
Lakini wapo watu sampuli hiyo hupewa contract au tender,yawezekana nao wakamuuzia kazi subcontractor ambae alimimina risasi nyingi za kutisha.
Mkuu Paskali tuachie wenye kazi zao wafanye uchunguzi.
 
Usiseme Eagles wangemmaliza TL,kwa zile risasi watoa uhai walijua wameshamaliza kazi.
 
Ile mission haikufanikiwa kwakua Maliyamungu alisimama katikati ya wasiojulikana, kila wakimwambia Brother hapa hatuwezi kupiga, yeye anasema " nimesema piga, tunabishana nini".. Wasiojulikana wanamuuliza tena " Bro kwa ukimya wa Hili eneo si zitasikika?" Maliyamungu huku akinyoosha kidole anasema " Hebu zimimine kuanzia usawa ule pale mpaka mwisho"
 
kwa kifupi tuu
kama ulvosema njia za kuelminate ziko nyingi na hawa wasio julkana wanamachaguo yao kwa wakati(wakati unataka njia gani) Ili wasjulikane kamwe som tyms hata kuhisiwa

mfano : wanaeza wakaja kama vibaka tuu wakakupiga nondo za kichwa ukaenda kufia hospital (then tukaaminishwa ni vibaka)

au wanaeza wakaja watu wanaojulkana na wakafanya yao then polisi then mahakama then jela then baada ya wiki kadhaa wakaamishwa kimya kimya to majumban mwao

au shambulio kama la lisu yani likakuachia maswali ambayo unakosa viunganishi na dola(kwa nn walpiga risasi kama watu waoga kwa nn washambulie bila kua na uhakika kama kweli yupo ndani ya gari kwa nini wasihakikishe kama kaxi imeisha au kwa nn wastumie hata sniper bas wakati uwezo huo wanao?

Jibu ni rahisi mngewashtukia 100percent
kwa wakati huo ilkua sawa kwa maana ya situation ya inchi +wakati =waltaka kumwangushia mtu mzigo associate wake
but
BUT kuna mtu mkubwa kuliko wote anawaharibia alwaharibia kwa kauli zake na body language yake
mtu wa propaganda hajai master position yake vilivyo

SIJUI KA UMEPATA POINT YANGU MAANA MI SIO MWANDISHI MZURI
 
Hiyo conclusion ya 3 nilikua naifikiria sana kumbe tupo wengi
 
Huu ndiyo Ukweli wenyewe, yaani aliyesimamia oparation alikuwa si Mjuzi wa matukio ya kininja pia Mungu alisimama kidete dhidi ya ushetani wa Maliyamungu Bashite licha ya kuwa aliambatana na mganga wake wa kienyeji, ni Mungu pia anawafunua watanzania juu ya unyama wa Maliyamungu Bashite ingawa bado hajachoka kusaka mbinu za kuwatokomeza chadema lakini anajua kuwa malipo ni hapa hapa Duniani.
 
Kama unawahisi CHADEMA wao wamesema ufanyike uchunguzi huru imebaki GOT kukubali au kukataa huo uchunguzi.Na nahisi ungekua mbele ya GOT officials useme ruhusuni uchunguzi huru yawezekana ungepata matatizo.
 
Kama unawahisi CHADEMA wao wamesema ufanyike uchunguzi huru imebaki GOT kukubali au kukataa huo uchunguzi.Na nahisi ungekua mbele ya GOT officials useme ruhusuni uchunguzi huru yawezekana ungepata matatizo.
Awamu hii ya visasi kukomoana kuwabambikia kesi wanaogopa kuleta wachunguzi wa kimataifa kama FBI Scotland Yard wanajua Maliyamungu Bashite ataumbuka live.
 
Unataka uhakika gani tena zaidi ya huu? Hivi ni kipengele kipi cha katiba/sheria kinachomruhusu huyu kuropoka haya? Mbona waliomtangulia hawajawahi kutoa kauli kama hizi? Unadhani kwanini Kikwete alitoa kauli kwamba wapinzani si maadui?



Dah ....umeandika maneno meeengi utafikiri una uhakika .....kazi ipo ...
 
Upuuzi tu badala ya kuhamasisha wananchi kufanya revolution unatega vitendawili

Nchi yoyote ile hapa duniani inayoitwa developed country ilipigana damu za watu mamilion zilimwagika

Msifikiri tunaweza kuwa na uchumi mzuri bila kujitawala na Ku produce want we need

Kama unazalisha na bei ya ulichozalisha inakuwa fixed na nchi zilizoendelea usitegemee kupiga hatua ..

Hayo madini na gesi unayoyasema bila kuwa huru kama taifa na kuamua mambo yetu wenyew nothing

Raisi magufuli ana mzigo mzito sana ambao ulishindiliwa na watangulizi wake .

Vijana mmekuwa na maneno matamu sana mitandaoni ili ni waoga mliopitiliza mnamunya munya maneno kama bata maji

Naona suala LA lisu limezua kiki kwenye siasa !!
Kama alishambuliwa Kwa masilahi ya matumbo ya wasiojulikana tutegemee dhiki iliyotukuka ila kama ni economic war credit for unknowns
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…