Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana

 

Aya hii.Karma inakuhusu. Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 

Mkuu hao 'jamaa zetu' ni akina nani sasa?
 
Hiv mkuu we ni muhenga
 
Just another suçker! Hivi Pàscal kwa uelewa wàko wa hawa jamaa ñaomba nieleweshe.Obote alivyopinduliwa 1972 Idd Amin aliwapeleka wapi jamaà.wa Obote. na yeye IDD Amin alivyoondoka jamaa zake walistàafishwa au.walienda wapi
 
Mashetani hayajulikani yanaishi nchi gani ? Yanatumwa nakiongozwa na nani na nani anayafuga hata yanatoa siraha za maangamizi mchana kweupe na je hayajulikani kwa kuwa ni mashetani watu ???
 
Froida, take time unisome, kama utanielewa Paskali
 
Mkuu Molemo, asante kwa taarifa, sisi wengine haya tuliyajua na tukayazungumza humu kuhusu wasiojulikana ambao watatafutwa na wakipatikana watajulikana na 'wasiojulikana' ambao hawatafutwi, hawatapatikaa na kamwe hawatajulikana!.

Poleni sana kwa yote, hongereni kwa kilichofanyika, Mungu awabariki wote waliochangia.
Tundu Lissu Get Well Soon.
Paskali
 
Pascal Mayalla......to get the answers by elimination methods, naomba uandike uzi kuunga mkono hoja ya CHADEMA kwamba Independent International Investigators waje. Naona ni ujinga kusema ni CCM ikiwa wao ndio wako mstari wa mbele kutaka Polisi wa ndani wapishe wa nje lakini hawa wa ndani wanakataa. Nijuavyo mimi kama hii ni dirty job ndani ya CHADEMA hakyamungu Polisi na TISS nzima ingehamia kwenye huu uchunguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…