Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana

Iko kazi! Karne ya 21 bado umefumbwa macho na kuzibwa masikio! Kama albadiri ina uwezo wa kimungu si angejufungia chumbani akasoma na mola wetu akamjibu! Nani kasema swala ni mkutano wa hadharani? JF!!!
Nilikuwa nasikia wasukuma wana ukabila kumbe kweli. Wewe siyo great thinker..wewe n mpuuzi tu. Na sitosoma tena makala zako za kipuuzi.
Swali km hawakuhusika kwanini wamemkamata shehe anayataka kusoma all badri
 
Uchunguzi huru wa nchi huru ndani ya nchi nyingine huru?? Sikubaliani na unyama aliofanyiwa lisu lakini sikubaliani zaidi na mawazo mafupi kama haya! Tanzania ni nchi na dola iweje uite Scotland Yard? Ili amchunguze nani na kwa njia ipi? Nisaidieni wajuzi wa jf! Kwamba muingereza njoo uchunguzi serikali yetu tuna Masha ka nayo! That is ignorance of the highest level! Mbona kuna minong'ono ya nani alimuua princess Diana, mbona hatujasikia kelele za tume huru?

 
Naomba kuuliza wakuu. Hivi hii sentensi au msemo wa watu wasiojulikana nyie wenzangu mwauchukulia vp? Najisikia vibaya sana kumsikia msemaji wa mamlaka nyeti akisema watu wasiojulikana bla bla bla.... Huku ni kujishushia heshima. Weledi qenu uko wapi? Intelijensia inafanya kazi kwa msimu? Mbona nyakati fulani ht siki 3 kabla ya tukio mnatuaminisha mko vizuri mmegundua vituvibaya au mipango mibaya? Iweje kwenye issue hot mnakauka km sio nyie na kutuambia wasiojulijana? Mnafanya nn basi msiwajue? Nakerekwa sana na hii misamiati. Tafadhali rejesheni heshima ya kazi. Nachukia mno kusikia eti watu wasiojulikana. This is ridiculous n shame to those responsible.
 
toa unafki hapa, usitake kuunganisha tukio la Hon TL na uchaguzi wa ndani wa CDM, hakuna asojua kwenye awamu hii mtu ambaye anaonekana kwenda kinyume na maneno/matakwa/sera/maoni na mkulu unaonekana msaliti, mchochezi na mwiba mchungu kwa SIRIkali pendwa na unashughulkiwa mara moja (ushahidi na mifano ipo ya kutosha).....
alafu wewe ni mtu mzima sana kiumri sina uhakika na kiakili pia next time jipange, au kwa vile ni verified user utadhani wakubwa wakipita hapa pengine neema ikakuangukia ?
 
P
Kimsingi upo sahihi, ila lipo jambo la kweli kitendo kilichofanywa na hao watu kujaribu kusitisha maisha ya mtanzania mwenzetu, ni ukiukwaji mkubwa wa haki na kila mtu mwenye akili TRIM AMU hawezi kuunga mkono jambo hlo.

Jambo pekee ambalo siwezi kukubaliana na watu(hasa wanaosema kuwa serikali au wale jamaa kuhusiaka)
Hilo jambo kwangu halina mashiko,

Kwanza mheshimiwa lisu hana madhara yoyote kwa serikali, iwe ya maneno au ya vitendo,

Pili hakuna mahali popote pale kulikuwa na viashiria vya vya uhatarishi ambavyo pengine tungesema Ls Anaweza kuvileta

Hvyo waliofanya hayo, ni wahuni tu ambao walitaka kuipaka matope serikali au kunenea mabaya...

Watu wanaojua na wenye akili timama hawawezi kuihusisha serikal kwenye hili...
Niko tayari kukosolewa...

Bonny...
 
Mke wa Lissu anataka kuwajua wasiojulikana, hivyo hii search ya kuwaulizia na kutaka kuwajua au kuwabaini hawa watu wanaoitwa kwa jina maarufu la watu "wasiojulikana", inaendelea, wanazidi kutafutwa na kuuliziwa, hivyo hapa nafanya kukumbushia tuu kuwa kwenye hawa watu wasiojulikana, kuna makundi mawili. Kuna wasiojulikana na 'wasiojulikana'. Wasiojulikana ni wale ambao wakitafutwa kwa bidii kwa kutumia mbinu za kisasa za utafutaji zikihusisha mambo ya ki inteligensia, mwisho wa siku watakuja kujulikana na kufikishwa kunakohusika, lakini kwa hawa 'wasiojulikana', hawa ni wale ambao kamwe hawatakuja kujulikana!.

Paskali
 
Mke wa Lissu anataka kuwajua wasiojulikana, hivyo hii search ya kuwaulizia wasiojulikana, inaendelea, wanazidi kuuliziwa, hivyo nakumbushia tuu huwa wasiojulikana ambao watakuja kujulikana na wasiojulikana ambao kamwe hawatakuja kujulikana!.

Paskali

pascal
Hapa mke wa lisu asilete drama ,,, Mr wake kasema anawajua maana yeye na dreva wake waliwaona wanavyosema kila siku wao wenyewe kwa vinywa vyao kuwa wanawafahamu.

Kwa nini sasa, asimuulizie lisu huko room/ hospital amwambie ili aje atuambie badala ya kutupotezea muda kuleta tena maswali kwa jamii ili hali majibu yapo kwa mume wake!?
 
Ulianza vizuri ila umeharibu mwishoni nyie watu mnao taka kuingia makumbusho mna shida sana ...
Ngoja nimalize mfungo nitakuja nikujibu
 
Kwa utamaduni wetu mwenzetu akipatwa na tatizo huwa tunautaratibu wa kuonyesha kuguswa kwetu na tukio husika.Lakini pale itakapoonekana jamaa hafati ule utaratibu wa kuonyesha kuwa ameguswa na tukio,basi huwa tunamwita kuwa ni mchawi wa tukio.But to every action there is an equal and opposite reaction.
 
Rudi sh
Rudi shule ukasome fasihi.
 
Mke wa Lissu anataka kuwajua wasiojulikana, hivyo hii search ya kuwaulizia wasiojulikana, inaendelea, wanazidi kuuliziwa, hivyo nakumbushia tuu huwa wasiojulikana ambao watakuja kujulikana na wasiojulikana ambao kamwe hawatakuja kujulikana!.

Paskali
Ishakuwa zilipendwa, nayy ana maswali ya kujibu maana michango mil 400+ katafuna na m/kiti Mbowe.
 
Watu wasiojulikana hawapo,isipokuwa anayewatafuta anakuwa na mfumo usiojulikana.Kila mtu anajulikana endapo anayemtafuta ana IQ kubwa na hana chembe ya upumbavu,pia awe amesoma kwa kiwango cha juu kuhusu kitu kiitwacho telepathy.Ni watu wachache sana ambao wamefuzu namna ya kutumia telepathy, maana telepathy ni kama jicho la tatu lililopo katika ubongo.
 
Mke wa Lissu anataka kuwajua wasiojulikana, hivyo hii search ya kuwaulizia wasiojulikana, inaendelea, wanazidi kuuliziwa, hivyo nakumbushia tuu huwa wasiojulikana ambao watakuja kujulikana na wasiojulikana ambao kamwe hawatakuja kujulikana!.

Paskali
Wasiojulikana watajulikana na watu wenye IQ kubwa na waliobobea katika kutumia telepathy.
 
Si kila unachokisoma unatakiwa kukitafsiri kama unavokisoma, ndo maana hata madarasani wanafundisha aina na dhana za aina kadhaa za ufahamu.
Wewe umekurupuka, hicho ulichokisoma kina dhana ya lugha ya picha ambayo kwa tukio husika ni lugha ya kisheria zaidi.
Si kila penye pazia ni mgahawa pengine panakuwa ni choo
 
Nini kinafanya wasiojulikana wawe na nguvu ya kufanya chochote na kuendelea kutojulikana?
 
Tuseme ukweli hivi Lissu wakati anamdhihaki mpakwa mafuta wa bwana askofu kilaini kuwa kahongwa na Rugemalira alitegemea kusomewa misa gani?

Halafu badala ya kutubu munataka kumsomea albadir? Tangu lini misa za majini zitawapata wakatoliki waliojitoa nadhiri kwa bwana?

Yeye aende bukoba akatubu hamna njia nyingine ya kusalimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…