Wameyataka wenyewe.Duh! Hawa watu wanaishi kwa mahangaiko sana
Hawa watu siwawaachilie hao mateka wa kiyahudi Benjamin Netanyahuu atawamaliza bila hurumaWaziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz: Hatutaruhusu shirika la kigaidi la Hamas kutumia hospitali na vituo vya misaada ya kibinadamu huko Gaza kama vituo vya makazi na amri za ugaidi.
Tutawafuata viongozi wake na kuwapiga kwa nguvu zote kila inapobidi.
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mimi jana tuliidhinisha IDF kushambulia miundombinu ya ugaidi chini ya Hospitali ya Nasser huko Gaza, ambayo ilitumiwa kama kituo cha amri ( Commanding Post )na wanachama wakuu wa Hamas.
Operesheni hiyo ilitekelezwa kwa kuzingatia taarifa za kijasusi zilizotolewa na IDF na Shin Bet.
Shirika la kigaidi la Hamas linaendelea kutumia hospitali na vituo mbalimbali vya misaada ya kibinadamu huko Gaza kama vituo vya makazi na amri, kuhatarisha raia na kufanya uhalifu wa kivita.
Tutaendelea kuchukua hatua kwa nguvu hadi malengo yote ya vita yatimie: kuachiliwa kwa mateka wote na kushindwa kwa Hamas.
View attachment 3333786
Wanataka wasifiwe kwamba wapo ngangari.Hawa watu siwawaachilie hao mateka wa kiyahudi Benjamin Netanyahuu atawamaliza bila huruma
TuwaombeeWameyataka wenyewe.
Mimi nawaombea maji ya kunywa na kashata wajipooze kwa kipigo kutoka kwa mazayuni.Tuwaombee
Acha kabisa mkuu, yaani mmekaa mnapiga stori mnastukia ardhi inawafukia papo hapo.Duh! Hawa watu wanaishi kwa mahangaiko sana
Ndiyo la kushangaza.Wanajibanza nyuma ya mawowo ya akina mama.Hao Hamas kwanini wanawatumia raia kama kinga, kwanini wasiende misituni huko aisee.
Watu wanakufa bila sababu za msingi, vita haina macho.
Changamoto sana tuwaombeeAcha kabisa mkuu, yaani mmekaa mnapiga stori mnastukia ardhi inawafukia papo hapo.
Wabilah taufiqMimi nawaombea maji ya kunywa na kashata wajipooze kwa kipigo kutoka kwa mazayuni.
Inshaallah maalim.Wabilah taufiq
Hapo mmoja ndiye ananyooshwa zaidi.