Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 639
inasikitisha sana ila ndio sms zinazosambazwa kwenye mitandao ya simu kuwa shambulizi la leo lililenga kuwapa onyo kali wakristo hususani wakatoliki kutoshiriki katika kura ya maoni ya katiba mpya kwa kile kinachoitwa mpango maalumu ulioandaliwa kupitisha mambo fulani fulani kwenye katiba.hali hii inatisha.vyombo husika vichukue hatua kudhibiti hali hii na zaidi usambazwaji wa ujumbe huu kwa watu.tanzania ni yetu sote.