Nadhani huo ujumbe unatoka kuzimu kwa wale wanaokunywa damu za binadamu, kwa muda huu ujumbe wa maana ni huu hapa "TUMSIFU YESU KRISTO. Waumini wa kanisa katoliki Dunia nzima, tunasikitika kwa tukio lililotokea saa 4.30, leo asubuhi ,wakati Ibada ya misa Takatifu ikianza katika mji Arusha maeneo ya olasiti kwa kulipuliwa Bomu na kufariki watu,pamoja na kujeruhi. jumapili ya leo wewe ukiwa mkristo, tafadhali fanya maombi maalumu, Dunia iwe ya Amani. EEE MUNGU MKONO WAKO WA KUUME USIKUBALI TANZANIA IWE YA MACHAFUKO. AMINA. Tuma ujumbe huu kwa Wakristo wote Duniani"