Shame on some Tanzanians in this Forum celebrating the Terror Attack

nenda zako wewe kuna uhuru wa mawazo tofauti! meli MV Nyerere ilivyopinduka walishangilia humu japo mimi nimekosoa vyombo vya ulinzi Kenya!
 
nenda zako wewe kuna uhuru wa mawazo tofauti!
uhuru wa mawazo katika kufurahia mabaya yanapompata mwingine???.........


uhuru wa mawazo upo katika kukosoa, kusifia, kukubali , kukataa n.k n.k........

hakuna uhuru wa mawazo kwenye kufurahia vifo vya binadamu wenzako, huo ni uchawi na ushetani...........
 
Kama ingalikuwa kweli waTanzania wamefurahia hiki kitendo wa kwanza kulaumu angekuwa MK254 yeye ndo hupewa lawama za Kenya directly humu siyo wewe. Maana yake ni kuwa tumetoa pole nyingi sana ktk uzi wake aliokuwa anasifia makamandoo regardless the fact that magaidi yalikuwa hayajafa yote at the time of his thread...
Hatuwezi kufurahia vitendo kama hivi na sijaona mt akifanya hivyo humu unless nioneshwe

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
nenda zako wewe kuna uhuru wa mawazo tofauti! meli MV Nyerere ilivyopinduka walishangilia humu japo mimi nimekosoa vyombo vya ulinzi Kenya!
Aaah wapi. Wakenya waliomboleza pamoja na nyinyi, rais U.Kenyatta akatuma rambi rambi zake na balozi wetu Dan Kazungu akawakabidhi cheque kutoka kwa GoK. Ila navokujua wewe kama hungefurahia vifo vya wakenya ndio ningeshangaa. Roho mbaya iliyotengenezwa kwa nta ya kanuba.
 
nimekosoa vyombo vya ulinzi na kusema may the lost souls RIP!

Poleni sana majirani! Itabidi ule ukuta uwe wa zege badala ya senyenge!
 
Calm down brethren!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kwa nini walipeleka wanajeshi wao kule in the first place? Wakiwatoa watarudi kulekule walikotoka. Rejea pre kibaki times na hali ya usalama especially kwa meli zilizokuwa zinakuja Mombasa.

Hapo nakumbuka habari za Wazungu walivuomuweka Mobutu sese seko akamwua Patrice Lumumba kikatili halafu baadae wakarudi wakamwua Mobutu,
Hizi shida zote wakenya na Wasomali wanapitia ila bado Utaona Rais wa Kenya anaenda marekani kwa Trump on monthly basis,

Vitu vingine ni vigumu sana Kuelewa..
Wazungu hawana Urafiki na Mtu but only their interests..
Tatizo wakenya nao ni Mamburula sana..
 
Izo nifikra zaifu uo ni msiba sio jukwa la siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Oii
Niliwapa pole mapema nawapeni pole tena jirani zetu Mola amewatangulia wakati huu mgumu mnaopitia, Ila niwe muwazi sijapendezewa na hili bandiko kbs, liko kwa ajili ya kutupasua badala ya kutuunganisha, Mtoa mada always uko na negative energy sijui kwa nini, Hivi unajua Watanzania walio wengi walivyoguswa na hili tukio?! kuna baadhi ya waamini kwny baadhi ya makanisa wameanza kufunga tatu kwa ajili ya maombolezo na hawana hata chembe ya damu ya kikenya. Ukitaka kujua zaidi namna gani watanzania wako pamoja nanyi kwny hili tukio la kusikitisha waulize Wakenya wenzio waishio Tanzania watakwambia!!!!Usitake kbs kutugawanya kwa chuki Watanzania na Wakenya wanapendana na ndio sababu mwingiliano ni mkubwa sana kuliko nchi nyingine zote ndani ya Jumuiya.Katafute takwimu hata za Mh. Uhuru juzi kule Mombasa. Waulize Wakenya waliowahi au wanaoishi au hata waliopita Tanzania namna gani wanathaminiwa na kupewa that we call pure love. Kama hatuwezi hata kuwabagua tutawachukiaje?! Jiulize!!!!!!!!!!
 
Msapere kuanzia leo umekuwa rafiki yangu ntakutafuta siku moja tunywe kahawa!Iwe Nairobi ama Dar!!! We are all brothers and Sisters!!!! Tatizo tumefuatana!!!!Kubishana ni jadi!!!! God Bless You!!!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…