Shame on some Tanzanians in this Forum celebrating the Terror Attack

How is this different from you cheating on your wife?
You dont know the difference? I will tell you;

Let us say USA government and its agency are HUSBAND and the rest of the world are WIFE.

USA government is cheating on us. They want us to believe they are fighting terrorists (FAITHFUL) we give them our blessings to invade the countries in the name of fighting terrorism, yet they finance them and give them arms (CHEATING). you still dont get it
 
If tru..wamekosea mno,sio sahihi kushabikia mauaji ya watu wasio na hatia,ila mtzamo wa watu wachache..sio mtazamo wa watz wote,poleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IF the opinions and feelings being expressed by of some Danganyikans in here is anything to go by .....Tehehe,it explains so many things.
 
Oh my
 
These are the Kenyans who have been satisfied with the terror, instead of mourning they are marketing
Hivi wakenya ni nani aliwaloga?
 
kuna kitu kinaendelea siku zote ambacho binafsi sikipendi nyinyi mnaendekaza sana utani wa nchi kwa nchi ambao kila siku mnatafuta weakness ya kila upande na kuzodoana nawe ni kinara na g.ulole.kumbukeni pamoja na kasoro zenu kila kukicha kutafuta kasoro za upande mmoja mnatengeneza supporters wa kila upande.hakuna siku mlinichefua kama siku mliosema eala ife!!!nyinyi wote timu tz na timu kenya jaribuni ku debate vitu positive hata mara moja kwa mwezi.sintashangaa mtu aliyezoea ku comment negative daily kusema chochote kwani wanasema:
If you do something everyday you make a habit
If you practice that habit you make a second nature AND a second nature is like a nature.
Sisi ni ndugu na tunahitajiana,mbali na utani tuweke vitu makini kwenye majadiliano yetu .
MAY LOST SOUL REST IN PEACE!
 
Kumbuka Uganda Walishambuliwa na Alshabab katika ukumbi wa disco watu 27 wakafariki ,kilichofuata wakaondoa jeshi lao hadi leo amani. Kwani jeshi lakenya limefuata nini Somalia? Kenya wapo vitani na Alshabab waache kulilia.
Being in Somalia was not the reason we were attacked.
Somali militants: Kenya attack revenge for Trump's Jerusalem policy


We were vulnerable because we have a large international community who were the target. when TZ and Ke were hit in 1998, it was not because of their own doing. Everyone should be thankful for what they have. No one in the world is secure from terrorists. Just pray they do not target you.
 
Hueleweki, nioneshe comment yangu niliposema EALA ife. Sasa wewe hapo unatulaumu sisi wakenya kwa hicho kitendo cha baadhi ya wenzenu kufurahia vifo vya majirani, ambao huwa wanasimama pamoja nanyi kila mara wakati wa misiba? [emoji15]
 
Hueleweki, nioneshe comment yangu niliposema EALA ife. Sasa wewe hapo unatulaumu sisi wakenya kwa hicho kitendo cha baadhi ya wenzenu kufurahia vifo vya majirani, ambao huwa wanasimama pamoja nanyi kila mara wakati wa misiba? [emoji15]
sio lazima nikuongelee wewe, kundi lako ambao negative comments ni daily na kumbuka una influence kubwa humu, to be negative also influence bad behaviour to some people.we can easily win as GROUP not as separate
 
sio lazima nikuongelee wewe, kundi lako ambao negative comments ni daily na kumbuka una influence kubwa humu, to be negative also influence bad behaviour to some people.we can easily win as GROUP not as separate
Mimi huwa natoa maoni yangu tu humu kama wanajukwaa wengine. Ila ukiona sehemu yeyote ambapo nimetumia maneno ya kejeli ama furaha kwasababu ya maafa au misiba Tz ruksa kwako kunihukumu. Jombaa, nadhani umenifananisha na mtu mwingine. All I do is mind my own business and throw in a few jokes here and there na kujadili mada muhimu kama zinavoletwa humu. Walio na chuki za kustaajabisha kwenye jukwaa hili utawajua virahisi bila ya kuumiza kichwa chako.
 
all the beast!!
 
Hahahahaha

I
 
Mkubali na ushauri wa hao uliowataja sidhan kama walichekelea bila kukosoa baadhi ya vitu visababishi vya maafa hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…