tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
sasa kama unashinda kwenye mitandao uzalishi, unadhani bot watafanya je?? Mnaambiwa msiandamane fanyeni kazi, kuweni creative wa technologia muweze kuzalisha ili tsh iwe more demanded kwenye soko,
sasa hivi mnakuja hapa bot,mara serikali, sham upon you,
We should not forget donor countries have frozen budget assistance because of ESCROW account thus stifling inflow of forex monies. Many thanks to SINGH,MUHONGO, MASWI, etc we paying the price for your well beingI can not agree more with you! CCM's knowledge pool is busy churning out new "Embezzelment" strategies for selfish ends they have no heads for national wellbeing.I cry my beloved country, we deserve a second republic.
How can you waste your Gold time to educate a thing like kababu?
We import almost everything this will go on for a long time to come.
Thanks bro. But if the Bank of Tanzania stays on the sidelines: we are in for a currency crises!
Wananchi ni wachuuzi kutwa wanazunguka wanauza forever living product serikali ombaomba shilingi itapanda vipi dhidi ya major currencies?