gango2 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2011 Posts 1,956 Reaction score 2,274 Dec 12, 2011 #1 huo ndo ukweli hii timu siipendi hata kama nimezaliwa mtanzania
M Maswalala Senior Member Joined Mar 30, 2011 Posts 149 Reaction score 12 Dec 12, 2011 #2 gango2 said: huo ndo ukweli hii timu siipendi hata kama nimezaliwa mtanzania Click to expand... katiba ya bongo inakuruhusu alimradi hauvunji sheria
gango2 said: huo ndo ukweli hii timu siipendi hata kama nimezaliwa mtanzania Click to expand... katiba ya bongo inakuruhusu alimradi hauvunji sheria
gango2 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2011 Posts 1,956 Reaction score 2,274 Dec 12, 2011 Thread starter #3 Timu hii imekaa kisiasa tupu na majungu hakuna lolote!!! alwalys inashiriki mashindano ilimradi kutimiza wajibu isionekane haijashiriki!
Timu hii imekaa kisiasa tupu na majungu hakuna lolote!!! alwalys inashiriki mashindano ilimradi kutimiza wajibu isionekane haijashiriki!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 13, 2011 #4 Nami siipendi kabisa.