Shame on you!!

Hehehe...yeahh nyie endeleeni kuchit chat!!

Ha ha Ruta unauma na kupuliza sio. I do remember our agreement right?

You are very sweet, honey,
ingawaje hicho kilemba tu wandani wangu ndiyo kinanitia hofu........................ninahisi uko karibu sana na Mujahidina hivi ........................au Al-Shababu...........................yaweza kuwa ni stereotyping lakini utamfanyaje mwana wa Adamu?

Hehehe...yeahh nyie endeleeni kuchit chat!!

karibu pia na wewe lakini......................................milango ipo wazi haijafungwa bado kwa ajili yako.........

Ungewataja wahusika ili wajirekebishe...maana we unaweza ukawa unaona wanachoweka hakistahili kuweka hapa wakati wenyewe wanaamini vinginevyo...hivyo mtu kujihisi itakua ngumu!!

Umeamua kusema...sema yote bila kubakisha!!!

Labda campaign za u-MOD hizo........kwa ugeni wake labda anafikiri MOD anachaguliwa tena yule mwenye matamshi makali na pumba zilizojaa mafumbo kama yeye...hahaha!

mwisho wa mwezi una maaaamboooo.... pombe naskia uwa yaongeza vokablali.. huyu jamaa kanywa valuuuu

Baby hilo la kilemba si tulishalimaliza?!

hahahahaaaaaaaaaaaa...........baada ya soga twende kule.............maana huyu kijana kaja na yake

Bwahahaha! Cant imagne mapovu yanavokutoka hadi kwenye vidole! Kwa munkari huu lazma utakuwa umemwagwa na dem wako! Pole! Mwahahahaha!

Baby hilo la kilemba si tulishalimaliza?!

unapopenda kitu na unataka kije kinamna utakavyo nacho kinaleta malengelenge..........................inabidi urudierudie ujumbe uleule hadi kifike kwa maana ya utekelezaji..........................

You should reconsider the limitation of ya education..you aint know nothn about what Sagacity stands for...

unapopenda kitu na unataka kije kinamna utakavyo nacho kinaleta malengelenge..........................inabidi urudierudie ujumbe uleule hadi kifike kwa maana ya utekelezaji..........................

Dear hebu twende kuleee

usiponde fc buk wewe umeijuaje ka hujaitumia usizuge wewe kunya wanya hata Ngono wafanya jipi jipya ndo maana inaitwa Jamíi ndani ya jami i kuna mazur na mabaya

Never get Angry. Never make a Threat. Reason with people - Mario Puzo/The God Father

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…