Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
I am increasingly convinced that the problem 'eating' our country is not a hopelessl eadership, but rather, a hopeless citizenry!
Inaboa sana. yaani tunakaa watu wazima tunaweka mategemo yetu kwa watu wanaoitana kutukanana. Tumekuwa wajinga mno; yaani hii mijamaa kila mara ikiitana Dodoma sisi tunatega masikio as if wanaenda kufanya jambo la maana. Wanatupiga changa la macho, tunabaki kubishana, tunawasubiri tena, wanaenda, tunaacha shughuli zetu tunaanza kuwasikiliza, wanatukananaaaa weee, wanarudi zao, uchaguzi ukija tunawachagua-now who is stupid, wao au sisi?Kimsingi tumekuwa wajinga maana tunawasikiliza vichaa wakirushiana makopo barabarani.
Haya muone huyu mwingine kaitisha mkutano wa waandishi wa habari kuutangazia ulimwengu jinsi naye alivyo CCM damu tangu 1977, kana kwamba hilo nalo ni jambo jema, na sisi tunakaa tunamwona yeye ni mjanja na ana akili kuliko Sofia Simba,
common guys, we should stop this.
Kama wametushinda na tumeona hatuwawezi, hebu tubaki tufanye kazi tulizosomea ili familia zetu zisife njaa,.Lakini siamini kwamba hatuwawezi, tunawaweza. Tunawaweza kuwafukuza CCM madarakani tukitaka. Tuanze kuchukua hatua, na hatua ya kwanza ni kuacha kuwategemea na kuweka matumaini yetu kwao.
Well Gentlemen. There is a guy in this forum goes by name of Julius. Although some have been trying to ridicule his ideas, but when it come ot the Point of "ndivyo tulivyo" we have to bow to him. He keep on saying it again and again, and we keep on proving him righ again and again.
Viongozi wetu tunajua kabisa kuwa wanayotufanyia sio haki, lakini tunafanya nini kuhakikisha kuwa 2010 tunakuwa na wengine na sio hawa wa sasa? Does talking on this forum only help? tunatakiwa kwenda a step forward na kuwaelimisha watu that we have to go for change.
Mkuu nimekusoma, umetoa maoni ya kizalendo....... Yep...dawa pekee ni kuwatoa mkuku hawa CCM la sivyo tusitegemee lolote jipya toka kwao. Ila kuna wataokuja na kukwambia eti ni CCM pekee yenye uwezo wa kuunda serikali. Hilo sikubaliani nalo.
Probably, we put our hopes so high on these guys, I mean we are simply expecting too much of them, which is why we keep on being disappointed every day. Isn't time that we stopped putting our hopes on them? Hasn't time come to start seriously thinking of an alternative?
To me I would rather say shame on us for continuing to bank on people who are not bankable. I am increasingly convinced that the problem 'eating' our country is not a hopelessl eadership, but rather, a hopeless citizenry!
Wanaokataa wako kwenye denial tu lakini chini ndani ya mioyo yao wanajua ninachosema ni kweli au kina chembe ya ukweli flani na ndio maana wanakuwa wanakataa kwa sababu mara nyingi UKWELI UNAUMA!!
Kama Sivyo Tulivyo inakuwaje sasa hata umeme kwenye shule za msingi hakuna? Inakuwaje hata madawati na viti hakuna? Kwani tunahitaji mtu kama Einstein kutengeneza madawati? Miafrika please....prove me wrong Miafrika, prove me wrong.
Si mmeona matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa majuzi? CCM imeshinda kwa kishindo cha 93%
Sisi wananchi wa Tz ni mataahira watupu. Samahani kwa lugha hiyo.
Come on 2010 general election, CCM shall win again!
Hasn't time come to start seriously thinking of an alternative?
Lowassa hata kama yuko competent kiasi gani, kama maneno haya ni kweli kuununua urais ni noma.
Worse, atajisikia entitled kufanya atakacho kwa sababu urais kaununua.Atajiona hayuko answerable kwa mtu kwani wajumbe waliomchagua wako kwenye payroll na wananchi basically wanachaguliwa rais na CCM.
Kama maneno haya ni ya kweli, na kama upinzani hautaamka kutoka usingizi mzito, basi tumekufa.
Si mmeona matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa majuzi? CCM imeshinda kwa kishindo cha 93%
Sisi wananchi wa Tz ni mataahira watupu. Samahani kwa lugha hiyo.
Come on 2010 general election, CCM shall win again!
Watanzania hatuna alternative! Tumezungukwa na wapinzani wa ajabuajabu! Yaani mtu unategemea watu wajikusanye wenyewe, wajisensitize na waitoe CCM madarakani! Sasa vyama vya upinzani kazi yao ni nini! Kwa hali iliyopo sasa hata wananchi wangekuwa wanataka kuitoa CCM madarakana, swali ni watamweka nani!
Ningetegemea wapinzani kutumia udhaifu huu wa CCM kupiga bao (kuitisha mikutano na maandamano) lakini cha ajabu wamekaa wanasema wanasubiri CCM imeguke!!!!
Ikimeguka ndio itageuka Chadema! Si bado kutakuwa na CCM asili na CCM academia! Yaani nyie akina Kitila, Slaa, Mbowe nk ni nini mkakati wenu!
Mnasubiri muujiza upi tena! Mnajua kabisa kuwa watanzania wengi ni wajinga (ignorant) na CCM imeinvest kwenye huu ujinga wa mama na baba zetu, dada na kaka zetu, hata bibi na babu zetu! Saa kama mnatarajia muujiza kuwa hao watanzania wata OKOKA na kuhamia Chadema - basi huo ni uabunuasi!
Na uabunuasi (foolishness) wa wapinzani ni mkubwa kuliko wa wananchi wa kawaida, na CCM itaendelea kuinvest kwa upinzani kama huu! Hapa kwetu hatuna activists wa kweli! Tumekuwa reduced to wapinzani wa kushinda jamiiforums na kutoa mawazo na wengine kusubiri bunge au uchaguzi ili wasikike!!!!! Haijulikani kiongozi ni yupi na mwanachi wa kawaida ni yupi! Jamani fanyeni siasa seriously. Ngrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr! Simply, tumelogwa/mmelogwa
True, what happened in Dodoma is shameful, and as Mwanakijiji rightly put it, it's a clear evidence of a failed leadership. It really gets on my nerves when I hear such nonsensical utterances from people holding key ministerial posts in our esteemed government. Where the hell did Kikwete pick the likes of Sofia Simba from? This woman must be sick in the head.