Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Mambo ya helaa!
 
Shamimu alikuwaga na "Kikoba challenge" huko Instagram akawamotivate sana wanawake wengi wasijue nje ya pazia ni pesa chafu ya ngada.
 
400gram "mtandao mkubwa"😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…