Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1483]
😛😛😛👏👏🙏🙏🙏Haya enjoy ur life
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha mkuu
Madon wameungua wote na zana hawataki[emoji848][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kichwa chako kimeshakunywa gongo relax
Sioni kitu mie
Kwahiyo mkuu unashaurije? Imebaki rufaa tuKuwa na Watoto wadogo sio sababu ya kutenda kosa. Hawezi kuonewa huruma sababu ya kuwa na Watoto wadogo
Ingekuwa hivyo kila mtu angekuwa anauza madawa na akikamatwa anasingizia ana Watoto wadogo
Alifanya wanawake mabwana tulio nao tuwaone mafala tu .hata elfu tano ya kibubu kwa siku anashindwa?? Kumbe bna daah .Haaahaaaahaaa[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kidogo uende Buza kwa mpalange[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama unamkumbula Shamimu hakuwa na makuu kabisa mwenyewe akipiga picha zake kwenye shughuli na kiblog chake maisha yanaenda na ustaadh wake yule baba Iqra,sasa dharau za kina Mange kumfanya kama housegirl fulani hivi na vile muda mwingi anapigana nao vikumbo na shetani akikuchagua huchomoki ila nimeumwa sana.shamimu kabla ya Abdul alikuwa na roho nzuri sana Mmungu amfanyie wepesi huko alikoVick we hukupagawa na vibubu vyake?[emoji1787]
Ila seriously, sitamani maisha ya mtu tena asee[emoji848]
Msamaha una nguvu kuliko mauti, Msamaha una nguvu kuliko kosa. Naamini mtu mwenye kosa kubwa ( muonekana wa kosa ) toba yake huwa ni kweli kuliko wanao ona wana makosa madogo madogo. Siamini katika kifungo cha maisha au kunyonga, maana hapo hujaondoa tatizo bali umezidisha tatizo. Nafatilia sana vipindi hivyo NGC watu wanakutwa na KG za kutosha, ila hupewa uangalizi ndani ya jera na miaka mingi huwa 5 hadi 38, maendeleo yake ya kitabia yakiwa mazuri, adhabu hupunguzwa na hata kuachiwa huru. Hawa watu ingekuwa wanapata adhabu ya miaka kadhaa, then waje watumikie jamii kama ma hospital au mshuleni na kutoa elimu kwenye makundi ya vijana walio athirika na hizo dawa.. kuliko kusema unawafunga maisha.. hai make senseWote hukosea ila ku judge wengine as ni wadhambi sana na kufurahia maana kwa hii dunia lolote laweza tokea kwa yoyote hata kufungwa kwa watu kukosea identity tu
mzabzab 😉😉😉😉Haaahaaaahaaa[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kidogo uende Buza kwa mpalange[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh! Wengi Jf hawaoni picha na video.. kuna jambo walifanyie kaziSioni kitu mie
Unadhan mwanmke alikuwa hajui MUMEWE n muuza ngada ? Nsembo kitambo Sana wakat nakaa magomeni had watoto wadogo walikuwa wanajua anauza sembeMimi mke wake namuonea huruma... kesi ni ya mwanaume hiyo
Haahhaha poaaAkikutag unitag
Nakubaliana na wewe adhabu nyingine ni too much kwa kweli nikifatilia kwa wenzzetu adhabu sio Kali ka hii jamani.Msamaha una nguvu kuliko mauti, Msamaha una nguvu kuliko kosa. Naamini mtu mwenye kosa kubwa ( muonekana wa kosa ) toba yake huwa ni kweli kuliko wanao ona wana makosa madogo madogo. Siamini katika kifungo cha maisha au kunyonga, maana hapo hujaondoa tatizo bali umezidisha tatizo. Nafatilia sana vipindi hivyo NGC watu wanakutwa na KG za kutosha, ila hupewa uangalizi ndani ya jera na miaka mingi huwa 5 hadi 38, maendeleo yake ya kitabia yakiwa mazuri, adhabu hupunguzwa na hata kuachiwa huru. Hawa watu ingekuwa wanapata adhabu ya miaka kadhaa, then waje watumikie jamii kama ma hospital au mshuleni na kutoa elimu kwenye makundi ya vijana walio athirika na hizo dawa.. kuliko kusema unawafunga maisha.. hai make sense
Sheria zetu nyingi, nyuma yake watungaji na watia saini ili zitumike wamekuwa ni watu wenye roho mbaya na wabinafsi na wenye roho za kukomoa. Hawavai uharisia wa kile wanacho kipitisha, na hawana hofu. Nilikua najua mtu anaefungwa maisha ni yule alie tishio kwa nchi au dunia.. ila hawa adhabu hiyo ina chuki na roho mbaya.. Mungu afanye mioyo ya wahusika kuwa milaoni na yenye tumaini la kumtumaini zaidi Mungu, awaondolea uzito na mawazo mioyoni mwao, aweke peace, joy and loveNakubaliana na wewe adhabu nyingine ni too much kwa kweli nikifatilia kwa wenzzetu adhabu sio Kali ka hii jamani.
Wanaharibu watoto wa watu mitaani ili waishi kibingwa ngoja wale dawa yao. Huko China sio maisha, ni shaba..kipi bora? Tusijifanye kuwa na huduma za ajabu kwa wapuuzi wanaoharibu taifa. Watoto watalelewa na ndugu, jamaa na marafikiNakubaliana na wewe adhabu nyingine ni too much kwa kweli nikifatilia kwa wenzzetu adhabu sio Kali ka hii jamani.
. Naona kila mtu yupo kivyakeHivi Monica ameachana na Jose mara??
Bang nahisiKuna jarida moja la zamani Kama 2012 front page alikuwa mange na shamimuu hivi lilikuwa linaitwaje;
Sijui Kuna kaukweli hapo, Ila list ya ma-tycoon wa madawa wote ni wa upande huo na wote Sasa hivi wako kwenye mikono salamaSijui kwanini Waislam wanapenda hii biashara,
Utawaonya mpaka utokwe na povu lakini wapi, watakuzodoa tu