Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Huyo dada anashida gani kahusika vp au wamemuunganisha vipi na huu msala
 
Daah bora atoke .wale watoto maskini.ila monica ana roho ya dhahabu aisee.amewabeba kama wa kwake
Kama ni kweli walikuwa wauzaji, waozee huko jela. Sidhani kama kuna familia hazina waathirika wa drugs. Hao watoto wao watatu hawazidi maelfu wanaoharibika mitaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…