CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Ni bahati mbaya tu mkuu kukamatwa.ila acha wakome.Tatizo hawakomi
Ova
Hapo kapuka mbona ni kisu hatari kuliko hawa tupo nao hapa kitaa... basi huyo manzi ilikuwa ni machine ya SGR maana bado anang'aaa bwana weeee.. kwanini nisifungwe kwa niaba yake mala moja moja nikija kata magogo uraiani ananipea kiduchu 😀😀😀.. hizi akili sio zanguJela sio Mchezo Shamimu kapauka aiseeee.
Huu utetez sijaukubal labda ungesema bashite alikua anajua biashara za nsembo labda ukatokea ugomvi bashite kaamua kumchoma lakn sio eti alimuwekea dawa nyumbanKabla hajawekewa Nsembo aliitwa na Mwana Fa karambezi akamwambia makonda kasema atakufunga na makonda na nsembo walikuwa wanajuana mwana fa alivyompa Siri nsembo ikabidi nsembo ampigie Simu makonda kaka nimeskia unataka kunifunga makonda akamwambia umeambiwa na Nani nsembo akamtaja Mwana FA so kesho yake Ndio nsembo kawekewa Unga kwake usiku Ndio kisa cha Mwana FA na mokonda kuwa chui na pala Mpaka Kesho Najua na Nina hakika na hii habari.
Kwani unafikiri hawawataji? Hao maDon hawakaagi na mzigo muda mrefu, wanawahi kuutawanya kwa mapunda wao... kwahiyo ngumu kuwashtaki bila kielelezo au ushahidi...labda utumie ubabe kama Dutuerte wa ufilipinoWatu kama hawa ilipaswa Serikali iwaahidi adhabu kidogo kwa makubaliano ya hawa kuutaja mtandao wao woooote kuanzia huko nje na humu ndani. Kuwatupa ndani maisha bila kuwakamua information za kutosha haitoshi
Tumia ubongo kufikiri,watu wanazungumzia habari ya ngada wewe unaleta blablaSi chadema.huwa wanasema.hamna mahakama ya Mafisadi?
Kufa kwani kuna ambaye hafi?..Sema kifo kilichosababishwa na biasharaBiashara ya madawa ina kama laanaa
Mwisho wake always ni mmbaya
Kuna kufungwa,kuna wewe mfanyabiashara hiyo kuwa teja,na kuna kufaaaa
Watu sijui bado hawajaliona hilo
Ova
Muda mwingine unabidi tu ufanye kuondoa maneno ya shombo kwa mwenza wakoUmeongea point kweli....haya mambo ya shotcut au kutaka upige hela ili uje umfirahishe mwanamke unaweza jikuta unaingia sehemu siyo
Ova
Mkuu makosa husameheka, na adhabu hupunguzwa. Kama binadamu kila mtu na makosa yake. Na mbaya zaidi wengine wana bifu na Mungu.. maandiko yanasema Ugomvi wa mwanadamu kwa mwadamu Mungu usamehe na kurehmu.. haya sasa Tafrani la Mungu na mwadamu nani ataamulia. Ni kweli wamesababisha madhara, ila pia wawe na nafasi ya msamaha wa kulipia haya kwakutumia na jamii pia na miaka kazaa jera. Walitakiwa wapigwe 15, na kufanya usafi mwaisela miaka 15 na kutaifishwa nusu ya mali. Wana familia waleKwahio nguvu kazi walioiharibu kwa kipindi chote hicho akina Langa na Ngwair we unaona wanastahili kurudi mtaani?
why hawakupelekwa mahakamani wote? mahakama ingemuita mwanaFA aje atoe statement yake.Mbona kamtaja mwana FA
Wale watapigwa maisha plus plusGramu 400 kifungo cha maisha
Sijui wale masharobalo waliokutwa na kilo 30 itakuwaje
Nadhani ni pigo kwa familia
Huyu shamim lazima nikamtoroshe gerezani, mtoto mtamu sana huyu kukaa gerezani
Hii imekaa kama story za vijiweniKabla hajawekewa Nsembo aliitwa na Mwana Fa karambezi akamwambia makonda kasema atakufunga na makonda na nsembo walikuwa wanajuana mwana fa alivyompa Siri nsembo ikabidi nsembo ampigie Simu makonda kaka nimeskia unataka kunifunga makonda akamwambia umeambiwa na Nani nsembo akamtaja Mwana FA so kesho yake Ndio nsembo kawekewa Unga kwake usiku Ndio kisa cha Mwana FA na mokonda kuwa chui na pala Mpaka Kesho Najua na Nina hakika na hii habari.
Kwa askari wa tanzania ? Ambao uki report na wewe ndanisasa mbona hukuenda mahakamani kuwa witness? atleast ungesaidia?
Acha roho mbaya hujui ww utaishia wap hayo maneno waachie watoto wa kike kina mange kimambi sisi wanaume safari bado tuombe mwisho mwema mkuu tusifrahie matatizo ya mwanaume mwenzetuMaamae zao wafubgwe tu umbwa wale walitesa sana kwa hela ya unga shubaamit zao
Macho yangu mabovu nini ? Mbona naona mrembo sanaaaYaani amekonda kawa Kama mzee! Jela sio pazuri
Plea haihusiki na wa madawaLicha ya Abdul Kukiri kwa DPP asamehewe haijasaidia kitu.
Atapenyaje Sasa... Toa grounds zakoNaimani akikata rufaaa atapenya awe na wakili mwelewa wa mambo
HahahaaaaOops! Kumbe unakiri alikuwa muuzaji ila alikuwa haweki ndani?
Hujamuona kabla alikuwa kisu hasaMacho yangu mabovu nini ? Mbona naona mrembo sanaaa