Shamsa Ford, Ney wa mitego ndani ya penzi zito

hahahaha ....ntake radhi haijawahi kutokea .kijana wetu tunampa ushauri naona mabesti zake mmepanic .

Wewe haya tu ngoja niitunze hii siri.
Ushauri wa nini? Muacheni na maisha yake kwani amewahi kuwatembezea bakuli hata la bundle tu?Kila mtu ana haki ya kuishi atakavyo ilimradi tu havunji sheria.
Let the man live his life.
 
Nakumbuka ulinifata pm ukasema binam yaani hili tunalichamba lakin linachamba duuu aisee nilichekaaa ,matola mwanzoni alituwezaa aisew lakin umbea huu mpaka mkaelewana duuu
Matola bwana kamuokoa!
 
Last edited by a moderator:

Huyu Matola huyuu enzi zile nipo chuo naperuzi sichangii alikua ananikosha akianza kuchamba kama ana majini wallahiii
 
Alikuaga anaingia na motooo huyooo alikua akimchamba warumi eti nami naingilia weee warumi analimwa kwa kupanikii
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka ulinifata pm ukasema binam yaani hili tunalichamba lakin linachamba duuu aisee nilichekaaa ,matola mwanzoni alituwezaa aisew lakin umbea huu mpaka mkaelewana duuu

Maana kwa matusi tu nilikua sijambo ila matola alizidi aseeh!!, halafu alikuwa anakujaga na ID nyingine tunapewa vichambo vya haja
 
Huyu Matola huyuu enzi zile nipo chuo naperuzi sichangii alikua ananikosha akianza kuchamba kama ana majini wallahiii

Ahahahahahah yani ilikuwa balaa khaa! Sio michambo ile, mashabiki zangu walikuwa wananifuata pm wananiomba niachane nae nitapewa ban, mie nae nilivyokuwa ctak kukubal vichambo nkawa nachambana mpaka napewa ban, ilikuwa ni shidaa
 
Last edited by a moderator:
Alikuaga anaingia na motooo huyooo alikua akimchamba warumi eti nami naingilia weee warumi analimwa kwa kupanikii

Kuna kipindi nilikuwa nachambwa hakuna ata anayenitetea si nikasusa kutoa umbea, eti kisa wambea wenzangu hawakunitetea wakat napewa vichambo, hahahahah ahahha ila mimi nae kiboko angekuwa mwingine zaman kashafunga account
 
Ha ha ha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Binamu nawe wapenda kususa ee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…