Shamsa Ford, Ney wa mitego ndani ya penzi zito

Huyu warumi ni jinsia gani? Au mambo safi?

Mimi nimeshindwa kumuelewa ukihisi ni me unaona vitabia vya kike,ukihisi ni ke kwa mbali unaona vitabia vya kiume mimi nafikiri huyu atakuwa mchicha mwiba.
 
Duuuhh nachukia kupigwa aiseee Mungu aniepushe na mwanaume wa tabia hiyo.
Eti a man I call my husband anipige? Tcheiiii

Help me Lord, make we live in peace.
 
Mimi nimeshindwa kumuelewa ukihisi ni me unaona vitabia vya kike,ukihisi ni ke kwa mbali unaona vitabia vya kiume mimi nafikiri huyu atakuwa mchicha mwiba.

Kazi huna ya kufanya kutwa kumfuatilia warumi, una matatizo ya akili, umbea tu kushobokea watu wasiokuwa na time na wewe, uache shobo sikujui achana na mimi
 
warumi leo nakubaliana na wewe

Baba kijacho bila filter uwiiiiiiiiio kamekomaaa kabayaaaaaaaa

Mmmh!! Baba kijacho sio kukomaa kule, ukikaona live kamekomaa kafupi kabaya, uko insta filter zinamsaidia, ata hawaendani na zari kwa kweli, yani kama mtu na housboy wake
 
Last edited by a moderator:
Ndomo ujamuona live wewe, kwanza umuonee wapi wakat upo nyamagana uko, yani kibaya kimekauka na kukomaa hatar

Unavyosema hivyo unaweza kumuumba angalau hata robo,acha kukufuru.
 
Huyu dada ni mzuri alaf ni type zangu ningempata mimi ningempa nyumba na hati kwa jina lake alee mtoto wake ila sasa nadhani amepotea watamchapa chapa akitepeta watamkimbia ndo wanaume wa kibongo walivyo. No luv at all they are just fackars.
 
Unavyosema hivyo unaweza kumuumba angalau hata robo,acha kukufuru.

Hahahaaa,hivi Dinazarde unajua kama lolowapi pia yupo huko Mwanza? Tena anapenda ngozi nyeupe hatariiiii. Kipindi kile nilichoweka avatar ya halat kila akiniona anasifia nilivyobadilisha alinichambaje?
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimeshindwa kumuelewa ukihisi ni me unaona vitabia vya kike,ukihisi ni ke kwa mbali unaona vitabia vya kiume mimi nafikiri huyu atakuwa mchicha mwiba.

warumi anawawakilisha wanaume wa Dar
 
Hahahaaa,hivi Dinazarde unajua kama lolowapi pia yupo huko Mwanza? Tena anapenda ngozi nyeupe hatariiiii. Kipindi kile nilichoweka avatar ya halat kila akiniona anasifia nilivyobadilisha alinichambaje?

We muache tuu huyo mbemba pochii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…