Shamsa Ford, Ney wa mitego ndani ya penzi zito

Naona collabo ya laki si pesa na lolowapi imenoga sasa.
Kuna siku mlinisema weee nikakausha leo mmemuamulia warumi!

Mimi na Dinazarde tumeshachambika sana mpaka binamu yangu akawa anaji quote mwenyewe, nyie umbea huu ila bado tu hatukomi, kweli umbea upo damuni, hawa sisimizi tu hawatusumbui vichwa, kuna watu wanachamba wewe mpaka unaharisha, yan nikikumbuka nacheka, jukwaa nilikuwa naliona chungu, hqhqhahahahahahq
 
Last edited by a moderator:
Zamu yetu na sisi ma celebrities wa jf kuchambwa, haaaaaaaaaa haa

Hahahaaa,umbea una changamoto sana.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimeshindwa kumuelewa ukihisi ni me unaona vitabia vya kike,ukihisi ni ke kwa mbali unaona vitabia vya kiume mimi nafikiri huyu atakuwa mchicha mwiba.

Hili swala la jinsia ya huyu mtu nishahoji zaid ya mara 10 but sijawahi kupata jibu sahihi, mwanaume kamili hata akitumia ID fake utamjua tu kwa maneno yake anayoandika, ila ukiona mwanaume anatumia maneno kama 'kuchambwa', 'kusutwa' lazima kuna hitilafu somewhere
 
Nilitaka kuvunjika mbavu aisee yaan mtu mpaka unajiqoute mwenyewe unajichamba khaaaa????ilikua shidaaa hata weee ushajichamba halaf tukahamia pm tulichekajeee huyu matola huyu alitujambishaa
 
Last edited by a moderator:

Halafu anatetewa sana na jinsia ya ke,,why?
 
Hahahaaa,umbea una changamoto sana.

Sana, yani tulipotoka uko ni balaa, kama una moyo mwepesi unaacha umbea, inafikia wakat kila mtu anakuchamba wewe tu mpaka unachanganyikiwa, ila ndo hvyo tumeshakomaa, hakuna wakutusumbua sasa
 
Nilitaka kuvunjika mbavu aisee yaan mtu mpaka unajiqoute mwenyewe unajichamba khaaaa????ilikua shidaaa hata weee ushajichamba halaf tukahamia pm tulichekajeee huyu matola huyu alitujambishaa

Matola alikuwa kiboko aseeh, alituweza, anatuchamba wote kwa mpigo, mpaka tunakimbilia pm kujiuliza tumfanyaje huyu mtu khaa!! Halafu kuna wengine wawili walikuwa wanatuchukia baadae wakawa mabest zetu wakajiunga kwenye umbea, yani ni shdaa ahahahajajaj
 
Last edited by a moderator:
mbona hata nyie ni wanawake tu maana humu hamtoki mmo tu mnamjadili warumi kawalia nini chenu?hebu mumuwache hamtaki vunjeni machungwa

Kuna wakat nakumbuka nilipewa ban, wakawa wanakuchambaje umebaki mwenyewe mpaka nikawa nakuonea huruma, ulikua mpole nilikuwa nacheka mbavu sina
 
mbona hata nyie ni wanawake tu maana humu hamtoki mmo tu mnamjadili warumi kawalia nini chenu?hebu mumuwache hamtaki vunjeni machungwa

hatuwezi kufumbia macho ushoga
 
Kuna wakat nakumbuka nilipewa ban, wakawa wanakuchambaje umebaki mwenyewe mpaka nikawa nakuonea huruma, ulikua mpole nilikuwa nacheka mbavu sina

Hhhhaàaaa hhhhaa ilikua balaaaaa
 
Nakumbuka ulinifata pm ukasema binam yaani hili tunalichamba lakin linachamba duuu aisee nilichekaaa ,matola mwanzoni alituwezaa aisew lakin umbea huu mpaka mkaelewana duuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…