Shamsa Ford: Nilionywa kabla ya kuolewa na Chid Mapenzi

Shamsa Ford: Nilionywa kabla ya kuolewa na Chid Mapenzi

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061


Msanii wa Bongo Movie baada ya mumewe Chid Mapenz kuswekwa lupango kwa tuhuma za madawa ya kulevya , msanii huyo amedai misuko suko kwenye ndoa ipo na alishaonywa kuwa ndoa inakuwa haijanyooka, amekanusha pia tuhuma za kutoka na msanii mwenzake wa Bongo movie Gabo mara baada ya kuandika kwenye mtandao akiambatanisha na picha kuwa akiwa anaigiza nae anapatwa na hisia za mapenzi kama yupo na mumewe
 
Duh...lugha swahili iko gumu sana.
 
Huu uzi ungeandika kwa kiswahili mkuu. Pengine ungeeleweka
 
Back
Top Bottom