Shamsa Ford: Tusimlaumu Diamond kudhalilisha wanawake, hawajitambui

Shamsa Ford: Tusimlaumu Diamond kudhalilisha wanawake, hawajitambui

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
30728520_1891159187621091_4694321584339419136_n.jpg

MUIGIZAJI wa Bongo movie, Shamsa Ford amesema si kweli kwamba Diamond anawadhalilisha wanawake anaotoka nao kimapenzi kwa kusambaza video zao mtandaoni.

Diamond amezua gumzo baada ya video yake ya faragha kusambaa mtandaoni akiwa na Hamisa Mobetto na binti wa kizungu.

Kwenye mahojiano na mtandao maalumu, Shamsa aliulizwa nini maoni yake kuhusu jambo hilo akasema Diamond aendelee kutoka na wanawake tofauti kwa kuwa hawajitambui na amemtahadharisha awe makini kwa kuwa kuna magonjwa.

"Mwanaume hawezi kukufanya mwanamke ukawa chombo cha starehe inategemea mwenyewe na akili yako,kama unataka kuchezewa utachezewa kama unataka kuwa mwanamke wa muhimu kwake utakuwa inategemea mwenyewe unajiweka wapi,” amesema Shamsa.

Amesema hawezi kumlaumu Diamond kama anawatumia wanawake maana wenyewe wanapenda kuwa hivyo na kumsihi kuwa makini ili kuepuka magonjwa ya zinaa.

Chanzo: Habari Leo
 
Huu ndio ukweli wanawake wenyewe hawajitambui kabisa hakuna sababu ya kuwaonea huruma wacha wafanywe wapendavyo.

Wanawake wenyewe ndio wakina Nandy wanao jirekodi wenyewe wakifanyiwa wanavyo vipenda halafu wanakuja kushangaa...

Nampa Hongera Diamond kwa kuwadhalilisha japo namuombe asisahau condom maana hizo ni takata si zote zina kosa sumu
 
Kweli kabisa,asilimia kubwa ya wanawake bendera fata upepo wakiona mwanaume huyu yupo kwenye mahusiano au ndoa wapo tayari kufanya lolote kwa ajili yake(kama fulan na mimba akategesha kabisa akitegemea ndoa badala yake kapata nickname child support,threesome aisee)

Ila akiwa single huwaon wakimshobokea,adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
 
Yeye mwenyewe hajitambui maana pamoja na kujifanya kukerwa na kauli ya Ney wa mitego alivyowakashfu wanawake wa bongo movie kwa kuwaita malaya lakini mwishowe alienda kumvulia chupi.
Wote ni wale wale...nilichomuelewa ni kwamba Diamond hapaswi kupewa lawama hapo nakubaliana nae....
 
heading imekaa kidaku"" lakini maneno ya huyo Binti yamekaa ki critical thinker zaidi "" kaongea vyema mnooo""
 
Wote ni wale wale...nilichomuelewa ni kwamba Diamond hapaswi kupewa lawama hapo nakubaliana nae....
anacho maanisha sio kwamba ..hapigwi machine na hao hao"" ila nikwamba hata kama akipigwa machine hawezi kuruhusu kurekodiwa akiwa na akili zake timamu""
 
anacho maanisha sio kwamba ..hapigwi machine na hao hao"" ila nikwamba hata kama akipigwa machine hawezi kuruhusu kurekodiwa akiwa na akili zake timamu""
Uyo shamsa ameolewa yuko kwny ndoa na jamaa mmoja anamaduka ya nguo anaitwa Chid mapenz ...sasa madanga wa bongo fleva na bongo movie awampendagi ..kabisa na alivyo ukawa damu damu hapo Lumumba wanamchukia balaa
 
namjua..mkuu "" chidy mapenzi namjua vyem kabla hajaanza hata kwenda China "" kipindi hcho ilikuwa nimiaka ya 2008 Alikuwa anauza nguo toka karikoo home alipokuwa analala kigheto gheto ilikuwa ni pale Meridian wakati huo duka languo kinondoni lilikuwa la Kim na dida tu"" baadae ndio akaja Roby 1 tena alianzaga na kikifrem kimoja tu"" maeneo ya karibu na kwakina zamaradi ilikiwa ni nyumba ya pili kutoka kwa kina zama."" inshort Jamaa namjua (chidy mapenzi) nimpambanaji mshikaji""
 
Ila tukio lililofanywa na Bilnas watu tukasema ni udhalilishaji wa wanawake.
Hivi wanawake wenyewe kwa kweli ya moyoni, hawajui wapi waaimamie. Wanadhalilishwa ama wanajitakia wenyewe, hawajui wakae wapi.
 
Huu ndio ukweli wanawake wenyewe hawajitambui kabisa hakuna sababu ya kuwaonea huruma wacha wafanywe wapendavyo.

Wanawake wenyewe ndio wakina Nandy wanao jirekodi wenyewe wakifanyiwa wanavyo vipenda halafu wanakuja kushangaa...

Nampa Hongera Diamond kwa kuwadhalilisha japo namuombe asisahau condom maana hizo ni takata si zote zina kosa sumu
Jamaa inaonesha hatumii ndom, Wema alishajaribu kuzaa naye, Penny alichoropoa ujauzito wake, Zari na Mobeto kawazalisha. Sijui huwa anajiamini nini kuuza mechi kwa malaya wa mjini
 
Yeye mwenyewe hajitambui maana pamoja na kujifanya kukerwa na kauli ya Ney wa mitego alivyowakashfu wanawake wa bongo movie kwa kuwaita malaya lakini mwishowe alienda kumvulia chupi.
Umeniwahi ndugu, huyu dada nilimdharau alivyompanulia Ney
 
Back
Top Bottom