Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Msanii wa bongo movie shamsa ford amesema kuna wanaomuombea mabaya aachike ila watasubiri sana kwani kuachana na mumewe ni mpaka kifo
Pia amesema kuwa hajaacha kuigiza bali anatengeneza kwanza ndoa kisha mwakani movie zake zitaanza kutoka
Pia amesema kuwa hajaacha kuigiza bali anatengeneza kwanza ndoa kisha mwakani movie zake zitaanza kutoka