Nucky Thompson JF-Expert Member Joined Sep 20, 2016 Posts 1,817 Reaction score 4,061 Dec 5, 2016 #1 Msanii wa bongo movie shamsa ford amesema kuna wanaomuombea mabaya aachike ila watasubiri sana kwani kuachana na mumewe ni mpaka kifo Pia amesema kuwa hajaacha kuigiza bali anatengeneza kwanza ndoa kisha mwakani movie zake zitaanza kutoka
Msanii wa bongo movie shamsa ford amesema kuna wanaomuombea mabaya aachike ila watasubiri sana kwani kuachana na mumewe ni mpaka kifo Pia amesema kuwa hajaacha kuigiza bali anatengeneza kwanza ndoa kisha mwakani movie zake zitaanza kutoka
Chachu Ombara JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 6,067 Reaction score 10,938 Dec 5, 2016 #2 Huyu naye atulie maana humu wako busy na Zari, asubiri tena next week ndio wengine wataanza zungumziwa.
Huyu naye atulie maana humu wako busy na Zari, asubiri tena next week ndio wengine wataanza zungumziwa.
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,879 Reaction score 41,971 Dec 5, 2016 #3 Ishini maisha marefu kwenye ndoa yenu inshaallah