Leo nimechoka zangu alafu shangazi
amekuja anataka nimuunganishe
facebook.
Imebidi nimwambie lazima awe na
picha passport size 4 kwaajili ya
kuweka profile picture, Barua kutoka kwa afisa mtendaji na
Atm card ya nmb bank.
Halafu awe na marefa wanne ambao
wamekuwa facebook for more than 3
years.
Amesema hataki tena kujiunga fb! Saa ivi niko zangu nimelala naendelea
kupunguza uchovu.