shangazi kaingia

Shangazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2009
Posts
307
Reaction score
30
Wana jamii Forum mkaribisheni shangazi yenu leo ndio nimeingia rasmi. Hapa ni ukweli na uwazi tu na hakuma majumgu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA KASORO MAFISADI WALIO NDANI YAKE
 
Shangazi umerudi??Pole sana.Unalo jipya au hekaya zako za kale bado?
 
karibu shangazi.....edit basi kidogo sentenso yako kuanzia "hapa ni ukweli....
 
Wana jamii Forum mkaribisheni shangazi yenu leo ndio nimeingia rasmi. Hapa ni ukweli na uwazi tu na haku*a maju*gu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA KASORO MAFISADI WALIO NDANI YAKE

Shangazi,

Keyboard yako herufi "m" na "n" zinaingiliana? Karibu jamvini na edit maneno haku*a na maju*gu
 
Wana jamii Forum mkaribisheni shangazi yenu leo ndio nimeingia rasmi. Hapa ni ukweli na uwazi tu na hakuma majumgu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA KASORO MAFISADI WALIO NDANI YAKE

Karibu aunt mlete na mjomba wetu....kama hayupo tuambie pia...
 
Tunasubiri uhondo sasa, kama kuingia tu na herufi zinaleta raha namna hii bado kazi ipo!!!! Karibu sana auntie!
 
Shangazi karibu ndani ya JF, tunategemea kupata mengi kutoka kwako. Mjomba nae ataingia lini? Shangazi si unajua herufi 'm' na 'n' zipo karibu karibu sana kwenye bao bonye(keybord), fanya edeiting ya hiyo sentensi yako.
 
Karibu Shangazi lao. Mkulima kosa halisahihishwi na kosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…